Tangazo la Vodacom M-pawa la tv

Tangazo la Vodacom M-pawa la tv

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,828
Reaction score
12,321
Kuna yule mama mtu mzima huwa ananikosha sana. Huwa nikitaka kupiga picha, najikuta nime concetrate kwe tv.Yule mama ni mkali na enzi zake alikua moto.

Ushauri kwa vijana:

Ukitaka kuoa binti, angalia mama yake alivyo ndo upate picha atakavyokua miaka 50 ijayo.
 
na ukitaka kuolewa tuangalie baba pia au hiyo inatumika kwa wanaume tu wakitaka kuoa
 
na ukitaka kuolewa tuangalie baba pia au hiyo inatumika kwa wanaume tu wakitaka kuoa

tukitaka kuolewa tuangalie babu, sio baba tena..... mana baba na mtot wote sawa, unakuta baba alimpa mimba mama akiwa na 12 yrs huyo mtot atakuaje...... hahhahahahhaha
 
tukitaka kuolewa tuangalie babu, sio baba tena..... mana baba na mtot wote sawa, unakuta baba alimpa mimba mama akiwa na 12 yrs huyo mtot atakuaje...... hahhahahahhaha

ahahahahahahahahah na kweli itabidi tuangalie babu
 
Lazima tukubali Dunia inazungushwa na mihimili miwili yaaani uwepo wa Mwanamke na Pesa
 
Jamani Mwenye Namba Ya Miss Chagga Anipatie.
Nataka Kutangaza Nia Kwa Miss Chagga.
 
Back
Top Bottom