Unaweza kukuta kuna akina "Bashite" wasiotumbulika huko!Hivi huku Tanesco kuna mapapa gani kiasi Mh Rais hapagusi, kwanini shirika lijiendeshe kwa hasara? Mh Rais pitia Tanesco ila majipu yake haya vichwa.
Mkuu kwan ni shirika gani linajiendesha kwa faida?Hivi huku Tanesco kuna mapapa gani kiasi Mh Rais hapagusi, kwanini shirika lijiendeshe kwa hasara? Mh Rais pitia Tanesco ila majipu yake haya vichwa.