tunakuambia ndugu usijetumbukia shimoni bure wakati bado mapema haya shauriro kwani asiyesikia la mkuu uvunjika guu haya bhana mm sikulazimishi ni mapendo yako tu kwake na sitaki kumharibia mdada wa watu mie akaaaaaaaaa!
Mi sijal kama kakubali kufunga ndoa wengine wezi tu
Madame B njoo mpenz unyoshe mstari
Haha baada ya ndoa ntakuwa na nguvu ya kukamata binduki
hivi unamjua Ben Saanane? halafu nani kakwambia Madame B anaolewa yeye ni pesa yako unajilia halafu unalala mbele
hivi unamjua Ben Saanane? halafu nani kakwambia Madame B anaolewa yeye ni pesa yako unajilia halafu unalala mbele
akiupindisha huo mstari sijui itakuaje
Ntajiua mwenzenu
usifanye uamuzi mgumu kiasi hicho kwanini ujitoe roho yako kisa mwanamke yaani penzi ndo likupeleke jehanamu bestito? usijiue wako wengi humu mjengoni wewe chagu umtakaye halafu natangaza NIA yako wachangiaji tupo na tualike kwenye kikao mm nitakuwa KATIBU katika kikaoc hako cha harusi na nitakuwa MSEMAJI siku hiyo na kapu la utunza hazina alishike Filipo na uenyekiti mwambie my cousin charminglady anafaa zaidi hupo hapo