Tangazo la mkutano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la mkutano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Valentine T, Jan 27, 2009.

 1. V

  Valentine T New Member

  #1
  Jan 27, 2009
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASSOCIATION OF TANZANIANS IN IRELAND INAWAALIKENI WATANZANIA WAISHIO HAPA IRELAND KWENYE MKUTANO ULIOOMBWA NA BALOZI WA TANZANIA, KWA UK & IRELAND, MHESHIMIWA MAAJAR.
  VENUE: MALDRON HOTEL, PARNELL SQUARE, DUBLIN 1
  SIKU/MUNDA:IJUMAA 30/01/09 SAA KUMI NA MBILI JIONI

  Kama unamfahamu mtanzania aishie hapa Ireland mpe ujumbe huu. Ujumbe huu pia umewaendea walio kwenye mailing list yetu kwa njia ya txt.

  Kwa mawasiliano zaidi tuma email kwa organiser:makunja@hotmail.com
   
  Last edited: Jan 27, 2009
Loading...