Tangazo la mgao wa umeme kutoka kwa mheshimiwa waziri

Fuehrer

Member
Jul 6, 2011
15
1
Tangazo kwa Umma.

Ndugu Watanzania tunasikitika kuwatangazia kuwa maji yaliyobaki Mtera ni ya kuchambia tu! Sasa tuamue tupate umeme na tubaki na mavi au tuchambe tukose umeme.

Asanteni, Ngeleja.
 
Tangazo kwa Umma.

Ndugu Watanzania tunasikitika kuwatangazia kuwa maji yaliyobaki Mtera ni ya kuchambia tu! Sasa tuamue tupate umeme na tubaki na mavi au tuchambe tukose umeme.

Asanteni, Ngeleja.

hahahahahahahhahahahahahahahahahahahahhaaahh kudadesa zake ngeleja...hhahahhahahaahha bora tuchambie tu umeme anasa....hahhaahh
 
itafika mahala tu mkubali mwalimu alikuwa kichwa cha tz. hata ya kuchambia yatakuwa ya mgao vilevile
 
tangazo kwa umma.

Ndugu watanzania tunasikitika kuwatangazia kuwa maji yaliyobaki mtera ni ya
kuchambia tu! Sasa tuamue tupate umeme na tubaki na mavi au tuchambe tukose umeme.

Asanteni, ngeleja.

hahahahahahahhahahahahahahahahahahahahhaaahh kudadesa zake ngeleja...hhahahhahahaahha bora tuchambie tu umeme anasa....hahhaahh

itafika mahala tu mkubali mwalimu alikuwa kichwa cha tz. Hata ya kuchambia yatakuwa ya mgao vilevile

crap! acheni maneno haya
 
Huyu anayeseam hao ndioy CHADEMA amefilisika kimawazo, with that kind of thinking, you deserve to die. Nyie ndiyo mnaoiangusha nchi......no alternative thinking.
 
Tukomae tu watupe umeme wa mgao ila tuchambe kama kawaida,
maana tuki-opt kukosa umeme halafu tupate ya kuchambia tutakua tukipewa kwa mgao vilevile ambao ni mgao mpya, hatujauzoea huo
 
Back
Top Bottom