Tangazo la 'Mdudu Rushwa' limepigwa marufuku?!

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Bandugu,

Ningependa kuburudika na lile tangazo la redioni la 'Mdudu Rushwa'! Pana mdau hapa anayo nakala yake pepe?

Wadaku bin wadakuzi wa mambo wanadai tangazo lile lilipigwa marufuku kwamba ni makufuru kwa tangazo la mdudu rushwa kurushwa hewani kwa vile linasababisha kupanda na kushuka kwa mashinikizo ya damu kwa baadhi ya waungwana.

Yana ukweli hayo?

Nina wasiwasi na yale matangazo ya TAMWA kupitia TV ya kuhusu rushwa katika uchaguzi huenda yakapigwa marufuku nayo.
 
Siku ya ..............matawi yote huteleza.Wanapingana na wakati,habari ndio hiyo.
 
Mi sioni ajabu kwa hilo tangazo kukatazwa kwani hata yale ya Haki elimu yanamchefua sana mkuu wa nchi (ingawa yana ukweli) na mwenyewe hata hafichi, huwa anasemaga wazi.
 
Back
Top Bottom