WANA-JF TUJADILI ZAIDI SWALA LA CCM KUADABISHA SAUTI HURU KWA KUNYIMA WANANCHI FURSA ZA KIUCHUMI
Kama kuna jambo ambalo Wana-JF tunatakiwa kulivalia njuga zaidi tangu sasa ni hili la wenye mawazo tofauti kunyimwa fursa za kiuchumi katika jamii yetu. Huu ni ubaguzi wa fursa za ki-uchumi ambayo ni mbaya sana wakati sote ni walipa kodi sawa kwa taasisi kama TANESCO!!!
Hili ni jambo zito lenye maslahi makubwa kwa taifa letu. Na pia, ni jambo moja ambayo mara nyingi huchangi watu ama kutokupiga kabisa kura ili isije ikawa taabu mbele ya safari au kujikuta wanalazimika kukipigia CCM kura hivo hivo hata kama hawakipendi.
CCM imedidimiza sana Demokrasia kwa kutumia mbinu kama hizi, usipokua wa KIJANA ni kwamba wanataka tuamini kwamba ajira hazipatikani kwako, mikopo benki yanakukimbia, bili za maji na umeme zitakukoma na kukatiwa huko, kodi za kukomehana kwa sana kwenye biashara, mikopo ya kusoma vyo vikuu ni lazima zikupitie mbali ...
Lakini tunasea basi yote yalio na mwanzo yatakoma si kipindi kirefu sana.