Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Na hiyo si Kigoma tu, hata kama upo Dar es Salaam nenda TANESCO onesha kadi yako ya CCM hutapata mgao wa umeme.. na hutahitajika kulipia LUKU yako. CCM Oyeeee!!
Mwenye akili atajua hizo ni propaganda za Chadema kigoma!