Kwa sasa ITV Ndio most viewed/watched television na itaendelea kuwa superbrand no1

Acha promo hakuna anaeangalia Itv labda wafuasi wa lowassa na habari za lowassa zikiisha wanatimka.kuna uzi humu unazungumzia hilo
Ndugu zangu nimeamini kweli mabadiliko yanakuja baada ya kusikia tangazo linalo mnadi Lowassa Clouds FM.
Ninaamini kama ni enzi zile hakuna redio wala chombo chochote cha habari kingekubali kupokea Tangazo la kumnadi mgombea wa upinzani. Japo ni Biashara.
Go Lowassa go Mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki Lowassa.
Unaposema ndio most viewed/watched una ushahidi gani? Au hisia zako zinakutuma ndo ukajua kila mtu anaangalia ITV. KUmbuka, "No research, no rights to speak".
Acha promo hakuna anaeangalia Itv labda wafuasi wa lowassa na habari za lowassa zikiisha wanatimka.kuna uzi humu unazungumzia hilo
usipingane na kweli Itv ndo most watched tv station ushahidi ni kuwa huoni anavyopata tuzo za super brand mara nyingi