mirrie_e
New Member
- Aug 8, 2016
- 4
- 0
Katibu wa Sekretariet ya Ajira katika utumishi wa umma kwa niaba ya Muhimbili National Hospital(MNH),MOI,GCLA,Tanzania Forest Services(TFS),The Local Government Training Institute(LGTI) na Eastern Africa Statistical Training Centre(EASTC) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi za Taasisi hizo kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia Trh 14-21/10/2017.