Tangazo la kuitwa kazini Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
11,778
9,975
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Shirika la Viwango Tanzania (TBS) waliofanya usaili kuanzia tarehe 01 – 02 Agosti, 2017 na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) waliofanya usaili kuanzia tarehe 24 - 26 Julai, 2017 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa kwenye tangazo lililopo kwenye website ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz (Sehemu iliyoandikwa PLACEMENT).

Attachments

  • Tangazo la kuitwa kazini TFDA.pdf
    33.8 KB · Views: 247
  • Tangazo la kuitwa kazini TBS.pdf
    156.5 KB · Views: 186
sasa serikali inaanza kutoa ajira kwa kasi

TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Shirika la Viwango Tanzania (TBS) waliofanya usaili kuanzia tarehe 01 – 02 Agosti, 2017 na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) waliofanya usaili kuanzia tarehe 24 - 26 Julai, 2017 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa kwenye tangazo lililopo kwenye website ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz (Sehemu iliyoandikwa PLACEMENT).

Hivi ni kanuni gani inaamua baadhi ya taasisi kuwatumia Utumishi na nyingine kufanya usaili wao moja kwa moja?

Mfano naona MUHAS wanapitia utumishi ila SUA wanatangaza wao wenyewe

Iko vipi wakuu?
 
westgate SIYO KWELI MKUU

HAWAKUACHA KUTANGAZA MKUU ILA VIBALI VILISITISHWA

AJIRA ZOTE ZINAZOPITIA SEKRETARIATI ZINAFUATA MCHAKATO UNAOFANANA (MAANA UPO KISHERIA NA LAZIMA UFUATWE)

1. KUTANGAZA NAFASI
2. DEADLINE LAZIMA IWE WIKI MBILI
3. MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWENYE USAILI HUWEKWA HADHARANI
4. MAJINA YA PLACEMENT HUWEKWA HADHARANI

NB: UKIONA MCHAKATO HAUKO WAZI UJUE HAUJAPITIA SEKRETARIATI.

NILICHOONA KIMEBADILIKA KWA SASA NI KWAMBA TAASIS ZINAZOPITISHA MCHAKATO WAKE KTK SEKRETARIATI ZIMEONGEZEKA
MFN. TFDA, TRA, TBS, MOI, MNH N.K HAPO MWANZO HAYA MASHIRIKA YALIKUWA YANAFANYA YENYEWE MCHAKATO WOTE..

NADHANI NI MAELEKEZO KUTOKA JUU.

Ila kwenye transparency tangu mwanzo iko hvyo.. WALAKINI UPO KWENYE MITIHANI YA MCHUJO, MASWALI YANAVUJA.
 
Ze Heby KUNA TAASISI KISHERIA NA KULINGANA NA MIONGOZO INAYOTOLEWA, ZINA MAMLAKA YA KUAJIRI NA KUSIMAMIA MCHAKATO WOTE WA AJIRA

AIDHA, ZIPO TAASISI AMBAZO HAZNA MAMLAKA YA KUAJIRI HVYO HULETEWA TU WAFANYAKAZI MOJA KWA MOJA (WAO KAZI YAO NI KUWASLISHA MAHTAJI YA WAFANYAKAZI)

HATA HVYO, KATIBU MKUU WA UTUMISH ANAYO MAMLAKA YA KUTOA MAELEKEZO NA KUAMUA KAMA MCHAKATO WA AJIRA UPITIE SEKRETARIATI AU WASIMAMIE WENYEWE

LAKINI PIA KWA KUWA SEKRETARIATI IPO KWA AJILI YA HYO KAZ, BAS MASHRIKA YA UMMA BAADA YA KUPATA KIBALI CHA AJIRA WANAWEZA KUWASLISHA OMBI KATKA SEKRETARIATI WASHUGHULIKIE MCHAKATO WA AJIRA ZAKE.

LAKINI HAKUNA SHERIA INAYOLAZIMISHA TAASISI ZOTE ZA SERIKALI KUAJIRI KUPITIA PSRS.
 
likandambwasada nmekuelewa... ila:

Uliona majina ya pracement ya TPA!? yaliwekwa wapi, mbona washaanza kazi

TRA wiki mbili hazijaisha tangu deadline!? Mbona hamna kuitwa kwa ajiri ya interview wakati matangazo yaliochelewa wameshaanza kuitwa
 
westgate KUHUSU TPA SIWEZI KUWA NA UHAKIKA KAMA WAMEANZA KAZI AU LAH, KAMA KWELI ZILISIMAMIWA NA PSRS

PILI, KUNA TOFAUTI KATI YA DEADLINE NA TAREHE YA KUITWA INTERVIEW

KWA HYO HZO TRA MKUU KWANZA ZILIKUWA NYINGI KWA HYO UCHAMBUZ WAKE LAZMA UTACHUKUA MUDA MREFU, SASA HAWAWEZ WAKAWAHISHA ZA TRA WAKAT KUNA TAASIS ZNGNE AMBAZO KAZ YAKE NI RAHSI.. PIA, NINAAMINI KUNA MGAWANYO WA MAJUKUMU NDYO MAANA ZNGNE ZMETANGULIA.

KUWA NA SUBIRA MKUU, MICHAKATO YA AJIRA ZOTE ZNAZOPTIA PSRS HUFANANA.

KAMA KUBEBANA BAS WANABEBANA HUKO KWENYE USAILI LAKN MWSHO WA SKU MAJINA HUWEKWA HADHARAN.

TRA WAOMBAJI NI WENG MNO..
 
Majibu mazuri.

Ila umeyaharibu kwa herufi kubwa. Umeonekana kama unapayuka tu kama zwazwa.

Siku nyingine epuka matumizi ya herufi kubwa. Herufi kubwa hua hazitumiki tu kila mahala.

Jitahidi kuepuka kuonekana kama unapayuka au zwazwa.
 
likandambwasada nmekuelewa... ila:

Uliona majina ya pracement ya TPA!? yaliwekwa wapi, mbona washaanza kazi

TRA wiki mbili hazijaisha tangu deadline!? Mbona hamna kuitwa kwa ajiri ya interview wakati matangazo yaliochelewa wameshaanza kuitwa
TRA application zaidi ya watu 56,000.

Lazima itachukua muda mrefu kuchambua mtu mmoja baada ya mwingine.

Vumilia tu wataita watu kwenye usaili. Uwe na subira.
 
Hili la maswali kuvuja nimelisikia, Kuna binti hapa kaajiriwa na alikiri pepa aliiona.
 
westgate HUO NDIYO UANDISHI WETU SISI WAHENGA.. CAPITAL LETTER ONLY, AM NOT A ZWAZWA

joseph1989 YEAH, MITIHANI YA WRITTEN INAVUJA NA KAMA UNAVYOJUA TENA, KWENYE SEKRETARIAT UKIPASS WRITTEN UNA UWEZEKANO WA KUPATA KAZ 99% KWA SABABU HATA KAMA NAFAS CHACHE, UNAINGIZWA KWENYE DATABASE THEN ZKTOKEA ZNGNE UNAAJIRIWA DIRECT BILA INTERVIEW
 
Kipindi flan waliacha kutangaza... hata za juzi za TPA hawakuweka majina, sijui ndo kuna wengine waliingia kwa mlango wa nyuma
Sio kweli, Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa umma inatangaza majina Ktk kila hatua kuanzia interviews mpaka placement, siku zote wapo very transparent.
 
Back
Top Bottom