N Ntambaswala JF-Expert Member Dec 7, 2008 255 78 Apr 10, 2011 #1 Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa. Hivi nani katengeneza hili tangazo..............nafikiri linaweza kushinda kwa ubovu katika matangazo yote mwaka huu.
Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa. Hivi nani katengeneza hili tangazo..............nafikiri linaweza kushinda kwa ubovu katika matangazo yote mwaka huu.
Kigogo JF-Expert Member Dec 14, 2007 20,508 6,146 Apr 10, 2011 #2 we umezoeamatangazo ya bia na kondomu ndo maana
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,787 Apr 10, 2011 #3 heeh,mi sijalisikia bado.its high time manake kutokunawa mikono kunasababisha madhara makubwa ya kiafya jamani!waweke na la kukataza kuchokonoa pua hadharani na kuchezea makamasi.phhhhew!
heeh,mi sijalisikia bado.its high time manake kutokunawa mikono kunasababisha madhara makubwa ya kiafya jamani!waweke na la kukataza kuchokonoa pua hadharani na kuchezea makamasi.phhhhew!