Tangazo la kuhamasisha kunawa mikono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la kuhamasisha kunawa mikono

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ntambaswala, Apr 10, 2011.

 1. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa.

  Hivi nani katengeneza hili tangazo..............nafikiri linaweza kushinda kwa ubovu katika matangazo yote mwaka huu.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  we umezoeamatangazo ya bia na kondomu ndo maana
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  heeh,mi sijalisikia bado.its high time manake kutokunawa mikono kunasababisha madhara makubwa ya kiafya jamani!waweke na la kukataza kuchokonoa pua hadharani na kuchezea makamasi.phhhhew!
   
Loading...