Tangazo la kikao cha wasomi waliomaliza vyuo vikuu.

Tangazo la kikao cha wasomi waliomaliza vyuo vikuu.

In English we don't have the word 'CATALYISTS' instead, we have 'CATALYSTS'. Furthermore, don't use AM or PM to express time after a swahili-written word or statement. Writing 'SAA 3.30PM MPAKA 6.00PM' is incorrect. You'd write 'FROM 3.30PM TO 6.00PM' or 'KUANZIA SAA 9.30 ALASIRI MPAKA 12.00 JIONI'. Be careful when writing public speeches!

Wape darasa hao 'wasomi wetu' watakaokutana hapo Soweto Garden. Kama 'msomi' anachemsha hata ktk kuandika vizuri masaa, hili si janga la Taifa! Hao ndo wale waliozoea kudesa. hata kuandika masaa anataka kutafuta desa!!
 
Back
Top Bottom