Tangazo la kikao cha wasomi waliomaliza vyuo vikuu.

Joined
Mar 18, 2011
Posts
63
Reaction score
12
[h=5]LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden ARUSHA...........LENGO, Kujadili mstakabali wetu kama vijana wasomi ktk jamii na tatizo la ajira kwa ujumla wake. KAULI MBIU,,,,, "WE ARE THE CATALYISTS OF DEVELOPMENT IN OUR COUNTRY" UKIPATA UJUMBE HUU, TUNAOMBA UMWARIFU NA MWENZAKO.[/h]
 
LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden ARUSHA...........LENGO, Kujadili mstakabali wetu kama vijana wasomi ktk jamii na tatizo la ajira kwa ujumla wake. KAULI MBIU,,,,, "WE ARE THE CATALYISTS OF DEVELOPMENT IN OUR COUNTRY" UKIPATA UJUMBE HUU, TUNAOMBA UMWARIFU NA MWENZAKO.

Hapo sijaelewa vizuri; SAA 3.30 PM maana yake ni nini vile!
 
LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden ARUSHA...........LENGO, Kujadili mstakabali wetu kama vijana wasomi ktk jamii na tatizo la ajira kwa ujumla wake. KAULI MBIU,,,,, "WE ARE THE CATALYISTS OF DEVELOPMENT IN OUR COUNTRY" UKIPATA UJUMBE HUU, TUNAOMBA UMWARIFU NA MWENZAKO.

Life after university?

Kama duplicate ya TPN vile!
 
Huwezi kuitwa msomi kama umemaliza chuo ukashindwa kupata ajira.

We sema tu waliomaliza chuo kikuu basi ! usomi ni zaidi ya hapo.

na kwa sasa vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu ni wapupu tu !
 
Good idea ila ingekua na mikoa mingine

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pana haja hawa wasomi wetu tuangalie na vyuo walivyosomea.
 
Kama usomi ndiyo huu basi mie niondoeni. Kumbe usomi ni kumaliza chuo kikuu tu? Waliomaliza vingi waende wapi au nao waunde umoja wao?
 
Mtakapokaa jiulizeni nini maana ya usomi!ni cheti cha Bachellor,Masters PHD?ni wizi wa kalamu kupitia sheria na taratibu halali?Kuongea kiingereza kingi?Utaalamu wa kuagiza toothpick na cotton buds China?Ni kuwa mchumi daraja la kwanza wakati uchumi wa nchi ni utata kwa wanyonge wengi?kumiliki MBA wakati huna biashara hata ya viberiti?(Hivi sijui vile kama Bakhresa ana MBA pia!)Kuwa na theory nyingi za jinsi ya kutengeneza bunduki halafu wanaotengeneza bila elimu kuitwa wahalifu!je ni utaalamu wa kujenga hoja au uwezo wa kuleta masuluhisho ya matatizo ya jamii?kupata ajira yenye mshahara mkubwa au kujenga ajira yenye uzalishaji mkubwa?
 
[h=5]LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden ARUSHA...........LENGO, Kujadili mstakabali wetu kama vijana wasomi ktk jamii na tatizo la ajira kwa ujumla wake. KAULI MBIU,,,,, "WE ARE THE CATALYISTS OF DEVELOPMENT IN OUR COUNTRY" UKIPATA UJUMBE HUU, TUNAOMBA UMWARIFU NA MWENZAKO.[/h]

In English we don't have the word 'CATALYISTS' instead, we have 'CATALYSTS'. Furthermore, don't use AM or PM to express time after a swahili-written word or statement. Writing 'SAA 3.30PM MPAKA 6.00PM' is incorrect. You'd write 'FROM 3.30PM TO 6.00PM' or 'KUANZIA SAA 9.30 ALASIRI MPAKA 12.00 JIONI'. Be careful when writing public speeches!
 
Mtakapokaa jiulizeni nini maana ya usomi!ni cheti cha Bachellor,Masters PHD?ni wizi wa kalamu kupitia sheria na taratibu halali?Kuongea kiingereza kingi?Utaalamu wa kuagiza toothpick na cotton buds China?Ni kuwa mchumi daraja la kwanza wakati uchumi wa nchi ni utata kwa wanyonge wengi?kumiliki MBA wakati huna biashara hata ya viberiti?(Hivi sijui vile kama Bakhresa ana MBA pia!)Kuwa na theory nyingi za jinsi ya kutengeneza bunduki halafu wanaotengeneza bila elimu kuitwa wahalifu!je ni utaalamu wa kujenga hoja au uwezo wa kuleta masuluhisho ya matatizo ya jamii?kupata ajira yenye mshahara mkubwa au kujenga ajira yenye uzalishaji mkubwa?

...kabisa mkuu,umemaliza,...chukua LIKE...natumia cm
 
mkuu big up kwa hii analysis.kuna watu bado wako na mambo ya enzi za mwalimu kuwa msomi ni yule aliyefika chuo kikuu tena tena kwa msaada wa google,desa na nondo.hatari tupu.kuna watu wametoka chuo kikuu lakini kiutaalamu hawezi husimama na kijana aliyetoka veta au ftc
 
Huwezi kuitwa msomi kama umemaliza chuo ukashindwa kupata ajira.

We sema tu waliomaliza chuo kikuu basi ! usomi ni zaidi ya hapo.

na kwa sasa vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu ni wapupu tu !

ni mapopompo,vijana wanaokopa mshahara wanaenda kununua verosa.pumbaaaavu,et al.ray bongo movie.
 
waje huko Arusha wakati hata pesa ya kununulia nguo ya ndani hawana!
 
kauli mbiu ungeandika kwa kiswahili tu,kikao chenyewe kitaendeshwa kwa kiswahili.umerekebishwa mengi katka post yako.
Ushauri.
Usiweke tabaka la elimu kuitisha kikao kwa manufaa ya jamii yako.ungeita vijana wote bila kuangalia elimu yao.
 
Mtakapokaa jiulizeni nini maana ya usomi!ni cheti cha Bachellor,Masters PHD?ni wizi wa kalamu kupitia sheria na taratibu halali?Kuongea kiingereza kingi?Utaalamu wa kuagiza toothpick na cotton buds China?Ni kuwa mchumi daraja la kwanza wakati uchumi wa nchi ni utata kwa wanyonge wengi?kumiliki MBA wakati huna biashara hata ya viberiti?(Hivi sijui vile kama Bakhresa ana MBA pia!)Kuwa na theory nyingi za jinsi ya kutengeneza bunduki halafu wanaotengeneza bila elimu kuitwa wahalifu!je ni utaalamu wa kujenga hoja au uwezo wa kuleta masuluhisho ya matatizo ya jamii?kupata ajira yenye mshahara mkubwa au kujenga ajira yenye uzalishaji mkubwa?

U have a beautiful mind.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
mkuu big up kwa hii analysis.kuna watu bado wako na mambo ya enzi za mwalimu kuwa msomi ni yule aliyefika chuo kikuu tena tena kwa msaada wa google,desa na nondo.hatari tupu.kuna watu wametoka chuo kikuu lakini kiutaalamu hawezi husimama na kijana aliyetoka veta au ftc

Mkuu enzi za mwalimu hakukuwa na desa wala google,watu lecturers walikua wanabana ile mbaya,desa zimeanza 2000's.

Back
Top Bottom