Tangazo la kikao cha wasomi waliomaliza vyuo vikuu.

Tangazo la kikao cha wasomi waliomaliza vyuo vikuu.

Joined
Mar 18, 2011
Posts
63
Reaction score
12
[h=5]LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden ARUSHA...........LENGO, Kujadili mstakabali wetu kama vijana wasomi ktk jamii na tatizo la ajira kwa ujumla wake. KAULI MBIU,,,,, "WE ARE THE CATALYISTS OF DEVELOPMENT IN OUR COUNTRY" UKIPATA UJUMBE HUU, TUNAOMBA UMWARIFU NA MWENZAKO.[/h]
 
Dah

Wewe umeandaa mkutano.

Unafanyika Arusha..........

Mnajadili mustakabali wa vijana na tatizo la ajira kwa ujumla wake.......

Najua yafuatayo:

Vijana walengwa wengi hawatofika kwa mfano vijana kutoka maenea ya mbali sidhan kama itakua hivo.

Huenda mtaandika propozo mtapata hela, mtakua mmejiajiri alafu mtaendelea kuwapigania wale wasio kua na kazi huku nyie mkipiga funds.

Pendekezo.

Mkimaliza kikao mtupe ripot sisi tunaokaa mbali jamani.
 
kwa hiyo unawataka vijana ambao hawajaajiriwa tu?..ok
 
Kila la kheri..... Mtafteni lowasa mzee wa bomu linalosubiri kulipuka.....
 
kweli hili suala ni la msingi ila mtafuteni lowasa na ikiwezekana hii kitu tuisajili ili kujipanga zaidi kama kikundi ya vijana wasomi nasikitika kwamba nitamis hii fursa ila mnaweza kuifanya tukawa tunachangia kupitia facebook ,na mitandao mingine ya kijamii
 
Nii ingekua nzuri sana kitu kama online forum.....

Coz vijana wasomi wapo mpaka kule kwenye gas kunaitwaje? ...... Yea mtwara. Pia tunduma wapo ila hawana nauli ya kuja mpaka arachuga kama mnavosema.
 
Good initiative for young people with a vision to engage in productive activities. My advice to you please be open minded in your efforts to get your daily bread. Do not be engulfed with attitude of being too selective in the midst of massive unemployment of young people. Seriously think of self employment (creation of your own jobs).
 
Hili linaweza kuanza kwa kutoa notion elitist za "kikao cha wasomi waliomaliza vyuo vikuu".

It's limiting, elitist, shortsighted and self serving.

Usomi si kumaliza chuo kikuu, na kumaliza chuo kikuu si usomi.

Kwa definition yenu hii hata Bill Gates hawezi kuingia club yenu.
 
[h=5]LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden ARUSHA...........LENGO, Kujadili mstakabali wetu kama vijana wasomi ktk jamii na tatizo la ajira kwa ujumla wake. KAULI MBIU,,,,, "WE ARE THE CATALYISTS OF DEVELOPMENT IN OUR COUNTRY" UKIPATA UJUMBE HUU, TUNAOMBA UMWARIFU NA MWENZAKO.[/h]

Life after University Thinkers?

Mnataka kushauriana mambo ya ndoa na uzazi wa Mpango? Kama na career na maendeleo kwa ujumla mnaweza junta TPN- Tanzania Professionals Network
 
LIFE AFTER UNIVERSITY THINKERS, tunawakaribisha VIJANA WOTE WASOMI KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2/2/2013. SAA 3:30PM MPAKA SAA 6:00PM, soweto garden ARUSHA...........LENGO, Kujadili mstakabali wetu kama vijana wasomi ktk jamii na tatizo la ajira kwa ujumla wake. KAULI MBIU,,,,, "WE ARE THE CATALYISTS OF DEVELOPMENT IN OUR COUNTRY" UKIPATA UJUMBE HUU, TUNAOMBA UMWARIFU NA MWENZAKO.
hivi nini maana ya mtu kuwa msomi? alafu nitarudi tena!
 
nimekumbuka ile hadithi ya shule ya msingi "nani amfunge cat kengele then rat mabaka akajitokeza katika mkutano ule mkubwa
 
Huyu Jamaa angeweka na Maada za Kuzungumzwa make wengine tungeweza kujitolea kuja kushusha baadhi ya Nondo, Ila ningeshauri mzungumzie jinsi ya Kujiajiri make ndo Optional iliyo bakia pekee na si nyingine,
 
SAWA KABISA NITAKUWEPO bt vp maana chuga navofahamu politician are around the corner.....
 
Back
Top Bottom