Anaitajika mfanyakazi mwenye taalum izi
Diploma ya business management
Diploma ya business handling
Social skills
Market idea na usafi
KAZI ni ya mini super market pamoja na butcher ivyo awe na idea ya kutunza nyama na samaki pia awe anaweza ku park vizur number ya sim 0763390302
Mwisho wa kutuna maombi ni tar 20 mwezi huu Asant na karibu
Kigezo kikibwa awe Mdada