Tangazo la epuka michepuko

Tangazo la epuka michepuko

kwenda mwezini ni jambo jema sana. lakini kusema wenzako wana sura mbaya si jema. kwani wewe ni nani? wewe si MUngu

Ndo tupende kuheshim baraka zake mungu kwa kuwatunuku wenye vigezo, mbona upande wa saut namweka yy, milard ayo,khamis mand, gadna na wengneo waliobarkiwa saut nzuuri kroho safiii????? Hna muonekano mzur kukubali udhaifu n ushnd ndugu
 
Kumbe na ww umeona eee,data sura pia
 
Kuulewa sio tatzo,tatzo je litafanikiwa wafikia walengwa wote na onesha postve results?huna muonekAno mzur unategeme watu watakuangalia????

Tangazo la UKIMWI sura nzuri ya nini? Bora huyo mwenye sura inayotisha kama ukimwi wenyewe.
 
Acha wivu

hizo ni akili za kitoto eti ....
dental fomula inanichefua.... kinachoangaliwa sio muonekano wa prezenta bali kilichoangaliwa ni mtu influential na anaweza kufanya tangazo? au ulitaka wakupe.ww ambae hata hujawah kutangaza zawad harusini. uwe unafikir kabla yakuweka coment hapa mana ww ndo unatuchefua
 
Tusidharauliane au kubaguana kutokana na sura zetu hii yote ni mipango ya Mungu , we kama unadhani sura nzuri ndiyo inakupa hadhi ya kuwa mwanadamu shauri yako.Halafu mambo ya kuchunguzana sura nadhan yapo tanzania tu ndiyo maana hatuendelei kwa vimambo vidogo:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::eyebrows:
 
Ndg zangu maisha hayana formula leo una dental safiii kesho unaanguka na bajaji reception plus dental kwishaa.sasa usimseme mwenzako kwa kujiona upo sawa MUNGU hadhihakiwi anaweza kukufanya vyovyote apendavyo. kuhusu status yake ni kwamba wewe huijui kesho yako unaweza ucpate HIV ukapata Cancer so vaa viatu vyake ninauhakika hutaona mapungufu yake
 
Mkuu Kiboko, natofautiana na wewe, Kobonde yuko good na tangazo liko bomba sana, ujumbe umewafikia wengi mimi nikiwa ni mmoja wapo wa walioguswa na kuamua kupunguza michepuko nikielekea kwenye kuacha kabisa!.

TV zilipoanza, sura nzuri na muonekano mzuri kwenye TV screen vilikuwa vigezo, hivyo matangazo ya TV waliwatumia top models, beauty qeens na ma HB only!. Enzi hizo hata wasoma habari wote ilikuwa ni lazima ku shave ndevu!.

Sasa tuko kwenye modern word, kinachomater kwenye tangazo zuri, sio sura, muonekano, au urembo, bali "the power behind!", mtu ukiwa al maarufu, haijalishi sura yako ikoje, kama unaweza kuwasilisha hoja vizuri na ikakubalika, then you are the man kwa tangazo!, sio sura, sio dental formular ni ujumbe na umefika!.

Labda kama una matatizo yako mengine ya kutomkubali Kibonde kwa mengine, hivyo kujikuta unamchukia bure!. Hebu lifikirie lile tangazo la Ben Mkapa na mambo ya watoto!, unaweza kulilinganisha na la Kibonde?!. Tangazo la Kibonde la michepuko ni moja kati ya matangazo mazuri sana!.

Kwa upande wangu, labda kwa sababu nafahamiana na Kibonde personally na naijua status as far as michepuko is concerned, tangazo hilo kwangu is even more powerful and inspires changes za kuacha michepuko, unapohubiriwa na "wazee wa michepuko" kuacha michepuko!" ndio maana kiukweli kabisa, and this is not a joke!, nimeguswa na kupunguza michepuko!. Inaweza kubakia ile ya lazima tuu wakati wa safari za muda mrefu!.

Pasco.

Big Like from ngafu
 
Wewe mtoa mada una visa na Kibonde?Kwanini umeamua kumdhalilisha hivyo,mapengo yanakuhusu nini?
 
No way!, kinachomater kwenye tangazo its not look, its impact!. Tangazo lina a very big impact!, kwa sababu Kibonde ni public figure, well known, anauwezo wa kujieleza na anakubalika sana!.

Lingekuwa ni tangazo la kuuza bidhaa fulani, hapo ningekubaliana na wewe, use attractive face to draw attention ya mtazamaji, ndipo aione bidhaa yako!. Lile ni tangazo la "attitude change!", lazima lifanywe na mature person, public figure, local celeb, anayekubalika, atakayeleta impact kwa jamii!, Kibonde amefiti kwenye hizo idara zote!.

Mimi binafsi, Kibonde namkubali sana kama mtangazaji na ni mhamasishaji mzuri, ila pia anahitaji kujisomea vitabu na majarida kujiongeza maarifa, au kurudi tena shule kujiongeza elimu!", other wise katika idara nyingine zote yuko ok!.
Pasco.
Tumlilie Kibonde
RIP Ephraim Samson Kibonde
P.
 
huna muonekAno mzur unategeme watu watakuangalia????
Kijana wangu, video nayo ina sauti, hivyo kama hawatamuangalia basi watamsikia; Yaan mpaka wewe umekuja hapa na kumuelezea maana yake umeshmuona tayari(hukujizuia kumwangalia), Hivyo wamefanikiwa
 
Back
Top Bottom