Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
No way!, kinachomater kwenye tangazo its not look, its impact!. Tangazo lina a very big impact!, kwa sababu Kibonde ni public figure, well known, anauwezo wa kujieleza na anakubalika sana!.
Lingekuwa ni tangazo la kuuza bidhaa fulani, hapo ningekubaliana na wewe, use attractive face to draw attention ya mtazamaji, ndipo aione bidhaa yako!. Lile ni tangazo la "attitude change!", lazima lifanywe na mature person, public figure, local celeb, anayekubalika, atakayeleta impact kwa jamii!, Kibonde amefiti kwenye hizo idara zote!.
Mimi binafsi, Kibonde namkubali sana kama mtangazaji na ni mhamasishaji mzuri, tatizo lake, namuona kama mjinga mjinga fulani!, namna pekee ya kuuondoa huo ujinga ujinga fulani ni "kusoma vitabu!, kuongeza maarifa, au kwenda shule kuongeza elimu!", other wise katika idara nyingine zote yuko ok!.
Pasco.
Pasco wa JF
Last edited by a moderator: