Tangazo la epuka michepuko

Tangazo la epuka michepuko

Tatizo sio sura mbaya tatizo kuridhishwa kitandani, we kuwa na shalobaro anagonga hata ufiki kileleni anamaliza kama ujaja kwa sura mbaya wanasimamia hadi kucha, hapo mwanamke nje haendi na michepuko inatoweka

Mtoto wa maskin umenena mkuuuu
 
Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?
Mytake::upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska...
Nawasilisha wakuuu
sasa hiyo dental formula ndo imekufanya uliangalie hilo tangazo... Hii ina maana wamefanikiwa.
 
Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?
Mytake::upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska...
Nawasilisha wakuuu

Acha wivu
 
labda kwa vile na yeye ni HIV positive ndo maana wameona wampe shavu hilo aendelee kuvuta vuta siku
 
Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?
Mytake::upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska...
Nawasilisha wakuuu
Mkuu Kiboko, natofautiana na wewe, Kobonde yuko good na tangazo liko bomba sana, ujumbe umewafikia wengi mimi nikiwa ni mmoja wapo wa walioguswa na kuamua kupunguza michepuko nikielekea kwenye kuacha kabisa!.

TV zilipoanza, sura nzuri na muonekano mzuri kwenye TV screen vilikuwa vigezo, hivyo matangazo ya TV waliwatumia top models, beauty qeens na ma HB only!. Enzi hizo hata wasoma habari wote ilikuwa ni lazima ku shave ndevu!.

Sasa tuko kwenye modern word, kinachomater kwenye tangazo zuri, sio sura, muonekano, au urembo, bali "the power behind!", mtu ukiwa al maarufu, haijalishi sura yako ikoje, kama unaweza kuwasilisha hoja vizuri na ikakubalika, then you are the man kwa tangazo!, sio sura, sio dental formular ni ujumbe na umefika!.

Labda kama una matatizo yako mengine ya kutomkubali Kibonde kwa mengine, hivyo kujikuta unamchukia bure!. Hebu lifikirie lile tangazo la Ben Mkapa na mambo ya watoto!, unaweza kulilinganisha na la Kibonde?!. Tangazo la Kibonde la michepuko ni moja kati ya matangazo mazuri sana!.

Kwa upande wangu, labda kwa sababu nafahamiana na Kibonde personally na naijua status as far as michepuko is concerned, tangazo hilo kwangu is even more powerful and inspires changes za kuacha michepuko, unapohubiriwa na "wazee wa michepuko" kuacha michepuko!" ndio maana kiukweli kabisa, and this is not a joke!, nimeguswa na kupunguza michepuko!. Inaweza kubakia ile ya lazima tuu wakati wa safari za muda mrefu!.

Pasco.
 
Pasco acha kupepesa macho mkuuu ww sema tu unamapenz bnafs na huyo jamaaa bt wapo watu wangefaa sana simamia show,kuna uzi ukiwah wekwa hapa kwa kutaka kuelewa maana ya hyo tangazo na yote hiyo n kutotumika vzur kwa model,sura nzur au mwinekano poa ndo kla ktu kwenye advert za video
 
Kwa kweli mimi binafsi hilo tangazo nimelichukukia positive katika kupunguza michepuko isiyo kuwa na ulazima,huku nikitahidi kubaki ktk njia kuu.Thanx wote mliofanikisha hilo tangazo
 
Pasco acha kupepesa macho mkuuu ww sema tu unamapenz bnafs na huyo jamaaa bt wapo watu wangefaa sana simamia show,kuna uzi ukiwah wekwa hapa kwa kutaka kuelewa maana ya hyo tangazo na yote hiyo n kutotumika vzur kwa model,sura nzur au mwinekano poa ndo kla ktu kwenye advert za video
No way!, kinachomater kwenye tangazo its not look, its impact!. Tangazo lina a very big impact!, kwa sababu Kibonde ni public figure, well known, anauwezo wa kujieleza na anakubalika sana!.

Lingekuwa ni tangazo la kuuza bidhaa fulani, hapo ningekubaliana na wewe, use attractive face to draw attention ya mtazamaji, ndipo aione bidhaa yako!. Lile ni tangazo la "attitude change!", lazima lifanywe na mature person, public figure, local celeb, anayekubalika, atakayeleta impact kwa jamii!, Kibonde amefiti kwenye hizo idara zote!.

Mimi binafsi, Kibonde namkubali sana kama mtangazaji na ni mhamasishaji mzuri, ila pia anahitaji kujisomea vitabu na majarida kujiongeza maarifa, au kurudi tena shule kujiongeza elimu!", other wise katika idara nyingine zote yuko ok!.
Pasco.
 
wanawake ndo wanajua mvuto wa mwanaume uko wapi. we mleta mada n
i mwanamke? hadi uone sura mbaya ya kibonde? au mwenzetu unavutiwa na jinsia moja. tena usisahau weka picha yako tuone unavyovutia.
 
Nadhani watu wangekua wanaona matangazo kama haya na kuyafanyia kazi,basi UKIMWI ungeshatoweka siku nyingi sana...
 
Wakuu michepuko sio dili huyu jamaa alijikuta ktka wakati mgumu baada ya kumchepukia mrembo wa mwenzie.
 
Attachments

  • 1392377008908.jpg
    1392377008908.jpg
    61 KB · Views: 160
Sasa tuko kwenye modern word, kinachomater kwenye tangazo zuri, sio sura, muonekano, au urembo, bali "the power behind!", mtu ukiwa al maarufu, haijalishi sura yako ikoje, kama unaweza kuwasilisha hoja vizuri na ikakubalika, then you are the man kwa tangazo!, sio sura, sio dental formular ni ujumbe na umefika!.

Pasco.
Mkuu pasco hapa napo umechepuka njia kuu asee! Sikubaliani na wewe kabisa kuwa kwenye modern world the power of appearance is useless in advertisement. Bado appearance ina mchango mkubwa sana hasa kwenye persuasive adverts.
 
Hawa jamaa cjui wametumia vigezo gani tu kumkabidhi ubalozi Ndugu Ephraim KIBONDE kutoa video advert ya tangazo hili ilihali dental formula yake haijakaa sawa na hana good visual kwa screen?

Mytake; Upande wa audio sawa saut yake ipo juu bt sio kwenye Video kila nkikiona hlo tangazo nachefuka sana wakuu,,,achen ukiritimba wapeni ubaloz watu waliojaliwa kuwa na muomekano mzur ili wawez kuwa mabaloz wazur wa kitu huska.

Nawasilisha wakuuu

Ni kosa kubwa kuponda maumbile ya asili ya mtu. Kama vile alivyo ni yeye aliyejibadilisha kutoka asili ni sawa. Lakini kama hivyo alivyo ndivyo alivyozaliwa si sawa kuponda maumbile yake. Cha msingi chukua ujumbe lakini si sahihi kuchukia umbile la asili la mtu kwani Mungu ametuumba tofauti ili tuweze kufurahia maisha. Ingekuwaje kama Mungu angetuumba wote wafupi au warefu. Au wote weupe au wote weusi. Au wote wanaume au wote wanawake? After all ni uzuri gani uliokuwa unaoutaka. Ukweli ni kuwa hakuna Universal agreement ya "uzuri" au kitu "kizuri" Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu uzuri au kitu kizuri ndio maana unaweza kusema mkeo ni mzuri wakati wengine wanamwona ni mbaya nk. Ingefaa kuwa na mtizamo huo ndani ya moyo wako lakini kwakuwa umeutoa hadharani, ni wazi umewasikitisha wengi. Tumwache Mungu aitwe Mungu! Samahani lakini nimesikitika sana. Cha msingi ujue wanaoandaa matangazo huwa wanakuwa wanaangalia kitu au mtu atakayefanya tangazo lao livume na kueleweka. Wakati mwingine huamua kutumia lafudhi ya kabila fulani ambapo wasikilizaji wanaweza wakacheka lakini kikubwa ujumbe huwa umefika. Lakini nikupe hongera kama wewe katika familia yenu wote mna"muonekano" mzuri. Hivi wewe ni nani hadi upate kichefu chefu unapomuona binadamu mwenzako? Kwa hiyo Mungu alikosea kumuumba vile? Kibonde siyo ndugu yangu wala sijawahi kuonana naye ana kwa ana lakini niseme wazi unisikisha na kuniumiza sana. Naomba Mungu akusamehe kwa holo na wote wenye mtizamo kama wa kwako.
 
Back
Top Bottom