Tangazo la DStv bomba linafurahisha

fastum

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
337
220
Dah kwa kweli hili tangazo la Dstv bomba linachekesha sana na hata hawa waliohusika walijua kutakuwa na tafsiri nyingine kwa watazamaji.
Jamaa:unaonaje bomba?
Demu:aahh iko bomba.
 
Back
Top Bottom