Tangazo kwa wasailiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo kwa wasailiwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MAUBIG, Aug 13, 2012.

 1. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Usaili wa taasisi ya udhibiti wa mbegu (tosci) ulipangwa kufanyika tarehe 20/08/2012 na 21/08/2012. Lakini kutokana na uwezekano wa tarehe hizo kuingiliana na sikukuu ya iddi, usaili huo umepangwa kufanyika tarehe 15/08/2012 na 16/08/2012.
  Mchujo utafanyika tarehe 15/08/2012 na usaili utafanyika tarehe 16/08/2012

  sekretarieti ya ajira inaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza.
   
 2. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Katika pekua pekua yangu leo internet nimelikuta hilo tangazo, mfahamishe unayemjua

  sote ni familia moja
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
 4. m

  markj JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Maubig kesho si una interview wewe nhif, vipi umejua yaliowakuta wale wa interview ya leo? Au uko chako ni chako
   
 5. C

  Carla JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  wat abt usaili wa zile ajira 2500 za selikari ambazo deadline yake ilikua tar 8 mwezi wa 6 sm one c any idea plz
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hata mimi naziulizia kila day bt navyoona bado.
   
 7. C

  Carla JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  lets kip in touch mpaka kieleweke
   
Loading...