Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,282
....
........KISHINDO !!!!!
Kwani ni lazima umchafulie huyu m-ACT kwa picha ya mikutano ya UKAWA?
Chama kinandaa kadi mpya na bendera mpya ambazo zitazingatia mabadiliko ya katiba yetu. Imeamuliwa kuwa wenye kuhitaji kuwa wanachama wawasilishe taarifa zao kwa waratibu wa mikoa wanayoishi au katika namba hizi 0784845394 kama huna mawasiliano na mratibu wako. Taarifa zinazotakiwa ni.
Ndugu kila siku nakuomba hapa tuwekee Katiba hutaki, sasa mara hii Mnaibadilisha imekuwaje tena?
Mnabadilisha huku hatujawahi hata kuiona siis wapenda mageuzi?
by the way mnasajili wanchama kwa Itikadi ipi? Hao wanchama wanjitambua kweli?
Itikadi?Hilo ni swali kubwa mno kwake.Niliwahi kuwauliza lakini wapi
Kwani ni lazima umchafulie huyu m-ACT kwa picha ya mikutano ya UKAWA?
Toka hapa na lichama lako la mamluki?Habari.
Tunafurahi na kushukuru kuona kuna wimbi kubwa la watanzania wa ndani na nje ya nchi yetu wanataka kuwa wanachama wa chama chetu lakini upungufu wa kadi na kuwafikia walipo imekuwa ni changamoto kati yetu na yao. Si hivyo tu, hata kumjibu mmoja mmoja barua pepe yake au ujumbe mfupi wa simu ni changamoto nyingine na hii ukizingatia wingi wao; tunajitahidi kuwajibu mmoja mmoja kadiri ya uwezo wetu lakini taarifa hii tunaraji itakata kiu ya waulizaji wengi.
Chama kinandaa kadi mpya na bendera mpya ambazo zitazingatia mabadiliko ya katiba yetu. Imeamuliwa kuwa wenye kuhitaji kuwa wanachama wawasilishe taarifa zao kwa waratibu wa mikoa wanayoishi au katika namba hizi 0784845394 kama huna mawasiliano na mratibu wako. Taarifa zinazotakiwa ni.
- Jina; vema yawe matatu
- Mkoa Unaoishi
- Jimbo unaloishi
- Kata/Wadi unayoishi
- Mtaa/Kitongoji/Sheia unayoishi
- Namba ya Simu
- Email Address
- Kazi uifanyayo
- Kama umejiandikisha kupiga kura au la
- Kama upo nje ya nchi watakiwa utaje nchi uliyopo.
ACT-TANZANIA
TAIFA KWANZA
Asanteni.
Njano5.
0784845394
Eti, rangimoto anajua hata maana ya itikadi?Itikadi?Hilo ni swali kubwa mno kwake.Niliwahi kuwauliza lakini wapi
Na wakome na kichama chao cha mamluki.....
........KISHINDO !!!!!
Unakiogopa wewe na nepi yako.Ma-chadema banaa ha ha ha sasa kama cha mamluki mnakiogopea nn?? Mpaka mtembea na sumu anatetemeka akiona bandiko la hiki chama kipya
Unakiogopa wewe na nepi yako.
Itikadi?Hilo ni swali kubwa mno kwake.Niliwahi kuwauliza lakini wapi