Tangazo kwa waandishi wa essay

Tangazo kwa waandishi wa essay

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
225
Reaction score
215
Samahani kuna tangazo nimelisikia kwenye redio ya clouds kuhusu wahitimu kidato cha nne 2016 kushiriki katika uandishi wa essay inayohusu jambo lolote katika nchi yetu yaani ni kuchagua kichwa chochote cha insha kutoa mapungufu na mapendekezo kuhusu insu husika..

Hivyo basi naomba angalau msaada niandike essay kuhusu nini katika nchi yetu niweze kua mshindi coz mda umebaki mchache tunazikusanya chuo kikuu UDSM msaada wenu wakuu

Natanguliza shukrani
 
Andika masuala mtambuka kama machafuko ya kisiasa, ukoloni mamboleo, mapinduzi ya kijeshi, demokrasia, utandawazi au ubinafsishaji
 
Demokrasia ya mfumo wa vyama vingi, tulikotoka na tunakoelekea!
 
Andika kuhusu ubakaji wa mchana wa demokrasia unaofanywa na watawala.
 
1. Madawa ya kulevya
2. Mabadiliko ya tabia nchi
3. Ajira.
4. Utandawazi.

Chagua hapo
 
Back
Top Bottom