shamp
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 225
- 213
Samahani kuna tangazo nimelisikia kwenye redio ya clouds kuhusu wahitimu kidato cha nne 2016 kushiriki katika uandishi wa essay inayohusu jambo lolote katika nchi yetu yaani ni kuchagua kichwa chochote cha insha kutoa mapungufu na mapendekezo kuhusu insu husika..
Hivyo basi naomba angalau msaada niandike essay kuhusu nini katika nchi yetu niweze kua mshindi coz mda umebaki mchache tunazikusanya chuo kikuu UDSM msaada wenu wakuu
Natanguliza shukrani
Hivyo basi naomba angalau msaada niandike essay kuhusu nini katika nchi yetu niweze kua mshindi coz mda umebaki mchache tunazikusanya chuo kikuu UDSM msaada wenu wakuu
Natanguliza shukrani