Tangazo kwa UKAWA wote

Tangazo kwa UKAWA wote

Stabilaiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
1,843
Reaction score
1,143
UKAWA chondechonde, msitudanye sisi watu wazima. Niko tayari kuutetea ukweli huu hata aje nani. Kama mmeshindwa kuzuia wizi wa kura za katiba ya CCM, kwa wajumbe wenu 67 wa UKAWA, mtawezaje kuzuia wizi wa kura wa katiba hiyo itakapopigwa nchi nzima. Haiingii akilini mwangu na wala haitaingia, ukweli huu unabaki kama ulivyo.

Msituambie mnasubiri wananchi kuikataa. Mtalinda kura vipi nchi nzima wakati mmeshindwa kulinda za watu wenu 67. Nimekasirika sana. UKAWA mmekuwa kama siyo wanasiasa. Hamkuwa strategic enough kwa hilo la kuzuia wizi wa kura. Bora mnyamaze tu.
 
Unacheza na ccm wewe! Ccm ndo dola. Kwa uchakachuaji ndo wenyewe!
 
jukumu la kuleta demokrsia ktk nchi sio jukumu la ukawa ni lako,sasa wafanyeje wako nje ya bunge,hivyo ni jukumu letu wananchi kupinga rasimu hiyo isije kwetu.....tatizo la nchi hii ni aina ya watu wake ambao sio watu wanaowajibika.
 
Wangezuiaje wizi wa kura wakati hawakuwemo Bungeni, kumbuka UKAWA walishajitoa kwenye mchakato wote wa Katiba na hiyo PENDEKEZWA iliyopitishwa siyo ya wananchi ni ya MAZUZU imepitishwa na MAZUZU kwa utaratibu wa KIZUZU.
 
UKAWA wanalijua hili kwa nini walilala uzingizi. Nasema wanyamaze kabisa. Walishindwaji kujikusanya na kutoa declaration ya kupiga kura ya kuikataa rasmu ya CCM. Kuna mawazo mazuri sana yalitolewa jukwaa jili ili kulinda kura zao, kwa nini hawakufanyia kazi ushauri huo. Sitaki kusikia matamko mengine ya UKAWA, wanyamaze tu, wameniudhi kupita maelezo.
 
jukumu la kuleta demokrsia ktk nchi sio jukumu la ukawa ni lako,sasa wafanyeje wako nje ya bunge,hivyo ni jukumu letu wananchi kupinga rasimu hiyo isije kwetu.....tatizo la nchi hii ni aina ya watu wake ambao sio watu wanaowajibika.

Hapana...UKAWA wanatakiwa kuchukua hatua........Haiwezekani eti watu kutoka kwao wamepiga kura na hawatajwi...hiki ni kinyume cha sheria.....Lazima hili suala lipelekwe mahakamani
 
Wangezuiaje wizi wa kura wakati hawakuwemo Bungeni, kumbuka UKAWA walishajitoa kwenye mchakato wote wa Katiba na hiyo PENDEKEZWA iliyopitishwa siyo ya wananchi ni ya MAZUZU imepitishwa na MAZUZU kwa utaratibu wa KIZUZU.
UKAWA wanshinda huku kwenye JF, kulikuwa na mawazo mazuri kuwa wachukue kiapo cha kisheria kuonyesha kuwa hawaungi mkono rasmu ya CCM na wala hawataipigia kura. Walifanya nini kwa pendekezo hili kwa mfano. Nasema UKAWA, waufyate.
 
Unakuhusu nini wewe kulinda kura, wew piga hapana watasoma wenyewe...
Kama umepiga kura hapana publicly, watu watajua wazanzibar waliokataa ni wangapi. UKAWA hawakuwa bungeni ndio, lakini walikuwa na njia yakutumia viapo vya kisheria kuwa kura yao ni hapana, wamefanya nini, hakuna. WANYAMAZE kIMYA.
 
Wangezuiaje wizi wa kura wakati hawakuwemo Bungeni, kumbuka UKAWA walishajitoa kwenye mchakato wote wa Katiba na hiyo PENDEKEZWA iliyopitishwa siyo ya wananchi ni ya MAZUZU imepitishwa na MAZUZU kwa utaratibu wa KIZUZU.
Ndio walijitoa, lakini walikuwa wanajua kuwa kura zao zinawindwa hata kwa kuiba. Walichotakiwa kufanya ni kuchukua kiapo cha kisheria kuzuia uchakachaji wa kura zao. Ushauri huo ulikuwemo hapa JF, kwa nini hawakuuchukua? Leo wanakuja kulia lia na kutudanganya eti tusubiri kura za wananchi, waache uongo huu, hauuziki.
 
Kama umepiga kura hapana publicly, watu watajua wazanzibar waliokataa ni wangapi. UKAWA hawakuwa bungeni ndio, lakini walikuwa na njia yakutumia viapo vya kisheria kuwa kura yao ni hapana, wamefanya nini, hakuna. WANYAMAZE kIMYA.

Hawajashiriki ujinga na upuuzi huu ccm wanafanya...
 
Kwangu mimi katiba hii ni rafiki kwangu!
Sina sababu za kuikataa. Kura yangu itakuwa NDIYO siku hiyo ya kupiga kura.
Nitajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote kuwashawishi watu wengi kadiri iwezekanavyo waipigie kura ya NDIYO!
Nyie endeleeni kulalamika na kuandamana!
 
Bora umenena ukweli, maana HAPANA na NDIYO yote sawa kwa Tanzania yetu
 
Hawajashiriki ujinga na upuuzi huu ccm wanafanya...
UKAWA wameshiri kwa kushindwa kulinda kura zao 67, hata aje nani hapa nitamwambia kweli yake. Awe Lipumba, Mbowe, Mbatia, huu ndio ukweli mchungu, hawakutakiwa kulala usingizi hata kidogo. Ni njia ya kuzuia wizi was very simple. Take legal outh, hii ingewapa nafasi ku-challenge wizi wowote ambao ungetokea.
 
Mkuu hata mimi ukawa wamenikera sana jamaa wapuuzi kweli wanapiga mikelele hayana hata maana kumbe hawana lolote.
 
UKAWA nafikiri kwa hili la katiba bado hawajawatendea SAWA wafuasi wao. Bado wana muda, wajipange, ukweli hata siku moja huwezi ukauficha milele kwa kusema uongo.
 
Usiwawekee wananchi maneno mdomoni, subiri wakati wa kura ya maoni tuone kama wananchi hawataipitisha katiba hiyo. Usijifanye kuwa wewe ndiyo mwananchi pekee hapa nchini au unakibali cha kufikiria kwa niaba ya wananchi, kila mwananchi ana akili zake na ana maamuzi yake na siyo lazima afuate mawazo yako. Pia kukataa mawazo ya wengine siyo uzuzu ni uhuru wa maamuzi na ni demokrasia vinginevyo kulazimisha kila mtu afuate unayotaka wewe ni udikteta na ndiyo uzuzu wenyewe, kwa kuwa TZ hii hutapata wa kufuata hayo mawazo yako.

Wangezuiaje wizi wa kura wakati hawakuwemo Bungeni, kumbuka UKAWA walishajitoa kwenye mchakato wote wa Katiba na hiyo PENDEKEZWA iliyopitishwa siyo ya wananchi ni ya MAZUZU imepitishwa na MAZUZU kwa utaratibu wa KIZUZU.
 
Mkuu hata mimi ukawa wamenikera sana jamaa wapuuzi kweli wanapiga mikelele hayana hata maana kumbe hawana lolote.
Natamani kiongozi mmoja wa UKAWA aje hapa nimwonyeshe upuuzi wao. Wanafahamu CCM ni wezi wa kura, kama wanasiasa wanashindwa kuwa la plans za kuzuia wizi wa kura kwa watu 67, inatisha. Hii maana yake ni kwamba UKAWA hawana strategists na kuwa kwao humu JF hakuwasaidii. Watu wamtoa mawazo mazuri mno ya kuzuia wizi wa kura, walikuwa wapi? basi na wao sio wasikivu. Kama wameona maoni ya wadau kwa nini hawakufanyia kazi. Hesabu gani za kitoto wanatuleta sisi. Ushindwe kulindfa kura za watu 67, utaweza kulinda za watu mioni kadhaa. UKAWA wala nisiwaone na kuwasikia wakitoa matamko yao mengine.
 
UKAWA nafikiri kwa hili la katiba bado hawajawatendea SAWA wafuasi wao. Bado wana muda, wajipange, ukweli hata siku moja huwezi ukauficha milele kwa kusema uongo.
Watajipanga kufanya nini? Kwa hili la kusema wanasubiri kura za wananchi wasahau kabisa. Nasema wamenikera sana. UKAWA wanaviongozi huwa wanaingia JF, walishindwa kujifunza mawazo ya wananchi. Waende zao huko, sina maneno ya kusema kuonyesha nilivyokasirika. Unalala usingizi wakati una-deal na CCM. Watu hata wamekufa kwa ajili ya katiba, halafu wanashindwa kulinda kura 67, waende zao huko.
 
Back
Top Bottom