Tangazo: Chagga university college of life

Tangazo: Chagga university college of life

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
284
Tangazo kwa wachaga wote;Chuo kipya kabisa cha kichaga (CHAGGA UNIVERSITY COLLEGE OF LIFE) kinatangaza kozi mpya kwa mwaka wa masomo 2011/2012 kama ifuatavyo;1-UBAHILI Miezi 3. 2-ULEVI miezi 5.3-UCHAKARIKAJI miezi 6.4- KUACHA WAKE KIJIJINI miezi 9.5-KUENDESHA PIKIPIKI mwezi 1.6-KUSOGEZA MIPAKA YA SHAMBA LA JIRANI miezi 12. Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi ya kupika mbege na kutembeza Ndizi BUREE! .........
 
ilishawahi kwenye thread moja humu, jamani mkirudiarudia tunachoka, pata muda kupitia posti za nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom