Baadhi ya wafanyabiashara hasa wa tangawizi wamekuwa wakiuza viazi vinavyofanana na tangawizi na kuwauzia wateja wao. Viazi hivyo havina harufu yoyote wala ukali wa tangawizi.
TFDA fuatilieni suala hilo kabla halijaleta madhara katika jamii yetu, kwasababu ukiangalia kwa macho ya kawaida utadhani ni tangawizi halisi.
Inapatika kwa wingi ktk soko la Kariakoo kwenye Barbara yanayopaki daladala za Mabibo.
Kilimanjaro,songea,kabuku tanga etc
Nlikutanaga na mdao mmja tulijuana humu jf ye amelimia songea alikuwa anategemea kuvuna tani zaidi ya 40...tangawizi zilikuwa bado ardhini lkn
Shida Lili kuwa kwenye soko la uhakika