Unajua kupambana wewe?Mtumwaaaa pole sana njoo tuipambanie ardhi ya nyumbani ardhi Mama
[emoji23][emoji23]Unajua kupambana wewe?
Mkiambiwa mtoke kuandamana unaficha mkia kama mbwa muoga mkubwa wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama zipi hizo shari walizozitangaza mkuuMuungano uvunjwe mapema iwezekanavyo na ikipibidi tuanze kupambana kwa njia halali kabisa na Waarabu na Wazanzibar. Wametangaza shari ya waziwazi dhidi yetu
Iwe kama Africa Mashariki, muungano hata sina kabisaZanzibari si wana serikali yao?, nasisi tuwe na yetu ambayo hakuna mzanzibari atakayeweka pua yake hapo, af ndio tuwe na serikali ya muungano mixer.
Tofaut na hapo kila mtu ale hamsin zake.
Hii ndoto yakuota mchanaHaya yooote yatakwisha siku Africa ikikubali kua Taifa moja fedha moja kiongozi mmoja nauhakika haya ya Dp naupuuzi mwingine mwingi tulionao utapotea maramoja
Mungu ibariki Afrika
Wapotezee, hawana kazi za kufanya hao!!Aisee mnatuchosha! Nchi yetu inaitwa Tanzania. Msidhani mkitengana kuna lolote bora litakalotokea. Wake up guys!
Mmeshindwa kupinga rushwa, ufisaidi, ukosefu wa uwajibikaji serikalini, utawala bora, mnakimbilia kuuvunja muungano? Shame on you!
Na mimi pia, ila usimwambie mtu.Mimi ni Mtanganyika,
wewe mwenyewe si ajabu ni wa mipakani huko wazazi wako wamehamia tu miaka ya karibuni.Mimi ni Mtanganyika 💯 muungano kwangu ni bidhaa haramu. Muungano ni kivuli cha wizi wa rasilimali zetu
Kuna haja ya kushambuliana mkuu?wewe mwenyewe si ajabu ni wa mipakani huko wazazi wako wamehamia tu miaka ya karibuni.
Hata kama ndivyo bado ana haki zote za Mtanganyika.wewe mwenyewe si ajabu ni wa mipakani huko wazazi wako wamehamia tu miaka ya karibuni.
hatushambuliani lakini tunaambiana ukweli tu. Baadhi yenu nyinyi munaojifanya watanganyika kwa saana kumbe ni watoto wa wahamiaji tu, na hasa wale walioko mipakani. Wao ndiyo wanajiona sana kuliko Wazanzibari ambao mumekomaa kuwasema ati wanajifanya waarabu.Kuna haja ya kushambuliana mkuu?