enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 340
Habari zenu ndugu, naleta swali langu kwenu kuna ubishi hapa ambao unalenga moja kwa moja kichwa cha habari hapo juu.
Binafsi sijawahi fika Zanzibar ila nimefahamu mambo mengi kuihusu Zanzibar kupitia masimulizi na makala mbalimbali.
Kuna jamaa yangu hapa tunabishana hata yeye hajawahi fika Zanzibar anadai kwamba Zanzibar kuna maisha mazuri sana kila mtu ana uhakika wa kula milo mitatu awe ana kazi au bila kazi masikini kwa tajiri, pia anadai Zanzibar huduma za kijamii na miundombinu inajtosheleza kama umeme maji hata mitandao ya simu vyote vinapatikana mjini au kijijini.
Pia anadai Zanzibar uwrzekano wa kupata kibarua ukasogeza maisha ni rahisi ukilinganisha na Tanganyika pia amedai kule watu wakalimu na wanaupendo sana kiasi kwamba unaweza funga Safari bila kujua pa kufikia ukampata mtu akakuhifadhi bure.
Yapo mengi sana ayo ni baadhi. Anadai kuishi Zanzibar ni rahisi Sana kuliko Tanganyika.hivyo basi wadau nakaribisha maoni juu ya hili kweli Zanzibar wana maisha bora kuliko huku gap kati ya masikini na tajiri ni dogo et wote wanakutana supermarket na buchani binafsi naona Tanganyika ni habari nyingine kwa Zanzibar.