Mkuu mimi ni mfuasi wa chadema kwa namna ya kipekee kabisa hivyo nakuomba uni_exclude kwenye ulumba🙏Ni ya kumteka Mo na kumnyang´anya mashamba yake ?? au ya kuvamia maduka ya kubadilisha pesa na kujichukulia ngawira??😛😛😛
Ndio, nyinyi ni wabaguzi na mnachuki zenu binafsi. Pia kama ni faida kubwa tunayopata niambie ni ipi haswa. Sio wabara wote wanangangania muungano na pia sio wazanzibari wote wanaopinga muungano. Kwanza wengi ninawajua hawajali na hawaoni shida yeyote ya muungano. Labda nyie wachache wenye ajenda zenu.Na haya ndio maneno ya watanganyika kila kukicha, hivi kama watanganyika hawafaidiki ni kipi haswa kinachowafanya mng'ang'anie hulu?? Ni zipi hizo faida unazodhani wazanzibari wanazipata kutoka kwenye huu uvamizi?? You can't be serious!!!
Suala la kubaguana unalifanya ni hoja?? Mnabaguana nyinyi huko tena ubaguzi mpaka wa kuuwana. Lini umeskia wazanzibari wameuana kwa sababu za kikabila Kari yao?
Hawaelewi kitu.wangekuwa na uelewa wangedai madai ya msingi siyo majinaWanaotawaliwa wanaelewa maana ya majina hayo na vyeo vyao
Ni ya kumteka Mo na kumnyang´anya mashamba yake ?? au ya kuvamia maduka ya kubadilisha pesa na kujichukulia ngawira??😛😛😛
Kwahiyo unachosema ni kwamba hapa hamna muungano. Ni ukoloni tuUnatakaje sasa mkuu hamna namna tukiwaacha kenya watawazoa
Jidanganye hivyo hivyo. Sisi tunaamini kuwa, ipo siku na ipo siku na ipo siku muungano huu wa kishenzi utafikia tamati. Hakuna Marefu yasiyo na nchaWazanzWewe ni mzanzibari uliyeko zanzibar. Wenzio wanaofanya biashara huku bara hawalitaki hilo.
Ila kura ya maoni ndio ingewafunga mdomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeee waaaaa kagonge na Balimi kabisaKwahiyo unachosema ni kwamba hapa hamna muungano. Ni ukoloni tu
Umewehuka wewe na hujui unachokisema. Kwa lipi Sisi tuwapende nyinyi michogo?? Huijui faida watanganyika wanayoipata sio??Ndio, nyinyi ni wabaguzi na mnachuki zenu binafsi. Pia kama ni faida kubwa tunayopata niambie ni ipi haswa. Sio wabara wote wanangangania muungano na pia sio wazanzibari wote wanaopinga muungano. Kwanza wengi ninawajua hawajali na hawaoni shida yeyote ya muungano. Labda nyie wachache wenye ajenda zenu.
Njoo huku bara uone mlivojazana mpaka interior huko Lumuma mnalima vitunguu na mboga mboga, wala hatuna habari na nyie tuko poa.Viongozi wa Zanzibar ma CCM hayaambiliki kwa Bara .
Ni mijoga katika kulinda mitumbo Yao.
Washapewa ardhi Dodoma wakajenge wizara zao.
Washaombwa wafanye serikali moja.
Wabara hawaulizwi wanapokuja kufanya makaazi Zanzlbar.
Sasa takriban Zanzibar ina watu millioni mbili
Hapa mtu wa bara ana hadhi zaidi kuliko Mzenji
Mkuu wa Wilaya Mjini aitwa Marina joseph,
Kamanda Polisi Mkoa Mjini Magharib aitwa Tobias,
Waziri Wanawake nà watoto aitwa Modelina Kastiko.
Juzi kulifanyika mabadiliko ya maafisa wa juu polisi na kuletwa wabara hapa.
Zaidi ya 90% ya wanajeshi ni wabara.
Hawa hawaambiliki!!!!!! Mungu wao ni mitumbo na maslahi yao binafsi, baaasi
Njoo huku bara uone mlivojazana mpaka interior huko Lumuma mnalima vitunguu na mboga mboga, wala hatuna habari na nyie tuko poa.
Tatizo lenu ubaguzi na udini ndio vinawasumbua, dawa yenu ni kuja kujenga makanisa kila mtaa huko Zenji ndio mtatia akili.
Waliopandikizwa