Tanganyika inavyoiuwa Zanzibar kiuchumi

Tanganyika inavyoiuwa Zanzibar kiuchumi

Viongozi wa Zanzibar ma CCM hayaambiliki kwa Bara .

Ni mijoga katika kulinda mitumbo Yao.

Washapewa ardhi Dodoma wakajenge wizara zao.

Washaombwa wafanye serikali moja.

Wabara hawaulizwi wanapokuja kufanya makaazi Zanzlbar.

Sasa takriban Zanzibar ina watu millioni mbili

Hapa mtu wa bara ana hadhi zaidi kuliko Mzenji

Mkuu wa Wilaya Mjini aitwa Marina joseph,

Kamanda Polisi Mkoa Mjini Magharib aitwa Tobias,

Waziri Wanawake nà watoto aitwa Modelina Kastiko.

Juzi kulifanyika mabadiliko ya maafisa wa juu polisi na kuletwa wabara hapa.

Zaidi ya 90% ya wanajeshi ni wabara.

Hawa hawaambiliki!!!!!! Mungu wao ni mitumbo na maslahi yao binafsi, baaasi
Unatakaje sasa mkuu hamna namna tukiwaacha kenya watawazoa
 
Kama mlimuondoa Sultani ilikuwaje mkamkamata Mpemba Waziri Mkuu Shamte na kumfunga katika jela za Tanganyika bila kumfikisha mahakamani kabla huo uvamizi hamjauita Muungano hapo April 26 1964 ??
Ushasema alikamatwa kabla ya muungano ulitaka mzanzibari apelekwe mahakama za Tanganyika ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazanzibar wajilaumu wenyewe. Huu muungano wanaulea wenyewe. Wangetaka ungeshavunjika


Wanaulea wenyewe vipi , kama hujui kuwa Jecha alivamiwa na Jeshi la Kikwete na kulazimishwa kufuta uchaguzi ???
 
Watatuzoa kwani sisi ni dagaa ?? Ndivyo mnavyoambiwa Lumumba ??
Zanzibar ni kamkoa kadogo sanaaa kana watu wachache sanaa ni wavivu sanaa hakana rasilimali sanaaa.
.
Swali ni kwanini tunawang'ang'ania Visiwa vyenu ni sehem nzuri sana ya kuendeleza amani tuliyonayo huku bara.
.
Yani zanzibar na mkoa wa Geita ukizilinganisha kwa idadi ya watu na rasilimali Zanzibar unaitupa chooni.
 
Wazanz
Hilo wazanzibari wanalitaka kama Leo, hawana haja wala hawababaishwi na yote uliyoyasema.

The same will apply to Tanganyikans.

Waondoke Zanzibar na kwenda kwao Zanzibar kutakuwa kwa Visa hivyo hivyo
Wewe ni mzanzibari uliyeko zanzibar. Wenzio wanaofanya biashara huku bara hawalitaki hilo.
Ila kura ya maoni ndio ingewafunga mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar ni kamkoa kadogo sanaaa kana watu wachache sanaa ni wavivu sanaa hakana rasilimali sanaaa.
.
Swali ni kwanini tunawang'ang'ania Visiwa vyenu ni sehem nzuri sana ya kuendeleza amani tuliyonayo huku bara.
.
Yani zanzibar na mkoa wa Geita ukizilinganisha kwa idadi ya watu na rasilimali Zanzibar unaitupa chooni.

Amani mliyonayo huko bara kumbe ndiyo hiyo ya kuwapoteza akina Ben Saanane na wale watu 400 kule Kibiti na kuwasweka ndani akina Mbowe na wengineo bila kusahau ya kumtwanga risasi Tundu Lissu ??
 
Amani mliyonayo huko bara kumbe ndiyo hiyo ya kuwapoteza akina Ben Saanane na wale watu 400 kule Kibiti na kuwasweka ndani akina Mbowe na wengineo bila kusahau ya kumtwanga risasi Tundu Lissu ??
Hapana mkuu!
 
Back
Top Bottom