Tanganyika inavyoiuwa Zanzibar kiuchumi

Tanganyika inavyoiuwa Zanzibar kiuchumi

Kama kuna kero ya muungano kwangu basi ni hizo kauli za wazanzibari ndani ya muungano.
Tupige kura ya maoni na kama wanataka kuuvunja basi wazanzibari wote bara warudishe passport zetu waondoke. Wasipewe kuchagua. Watuache sisi wauaji.
Wawaulize waingereza na brexit yao.

Waje kwa visa tz. Maduka yao kariakoo hadi ilala wafunge kwanza wasajili biashara zao kama wageni.

Wanaimiliki ardhi wairudishe maana wageni hawaruhusiwi.

Waliooa wabara watafute uraia au kibali cha kukaa nchini kwa mujibu wa sharia.

Kwenye majeshi waondoke wakaanzishe jeshi lao na polisi wao.

Wawaulize sudan kusini kilichowapata walipoamua kujitenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa Zanzibar ma CCM hayaambiliki kwa Bara .

Ni mijoga katika kulinda mitumbo Yao.

Washapewa ardhi Dodoma wakajenge wizara zao.

Washaombwa wafanye serikali moja.

Wabara hawaulizwi wanapokuja kufanya makaazi Zanzlbar.

Sasa takriban Zanzibar ina watu millioni mbili

Hapa mtu wa bara ana hadhi zaidi kuliko Mzenji

Mkuu wa Wilaya Mjini aitwa Marina joseph,

Kamanda Polisi Mkoa Mjini Magharib aitwa Tobias,

Waziri Wanawake nà watoto aitwa Modelina Kastiko.

Juzi kulifanyika mabadiliko ya maafisa wa juu polisi na kuletwa wabara hapa.

Zaidi ya 90% ya wanajeshi ni wabara.

Hawa hawaambiliki!!!!!! Mungu wao ni mitumbo na maslahi yao binafsi, baaasi
Kwahiyo tatizo majina? Nawaunga mkono sana wazanzibari kupata Uhuru wa kiuchumi kuendeleza visiwa vyao ila hoja zako mkuu dhaifu sana usizungumze majina ya watu unaweza kwenda mbele zaidi ukaeleweka.
 
Kama mnavyotawaliwa nyinyi na WanyaRwanda ??
Acha kichekesho leta ushaidi usio Shaka kama sisi tunavyowataleni Tanganyika Dora kumbwa sisi ndio tunaoitawala bahari na maziwa makuu kama unabisha uliza Rwanda Burundi Congo na Uganda na Malawi viongozi wao wamewekwa na nani madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aidha hujui historia ama mbumbumbu Zanzibar kulikuana kanisa toka mwaka 1879 Anglican liko mji mkongwe nenda pale. toa hoja za kisomi ueleweke mkuu
Hao wameletwa special na haiwamizi kwani nchi si yao , wa hapa wanaambiwa ni wapinzani
 
We Ni Muarabu bila shaka, si muafrika, waafrika wa Zanzibar hawana ubaguzi. Wazanzibar wako mpaka ndani sehemu za bara wanafanya shughuli zao bila hofu ya ubaguzi kwa kuwa ni wapemba/waunguja. Bara ni yao wanafurahia maisha. Iweje mbara akienda Zanzibar atazamwe kwa jicho la wivu na husuda?


Akili za mswahili bwana 😀😀😀 tunapenda mno kudhania
...eti "We Ni Muarabu bila shaka"
 
Kama kuna faida Tanzania bara inapata kutoka Zanzibar ni ndogo sana. Kwa asilimia kubwa wa zanzibari ndio wanafaidika na huu muungano nashangaa wanalalamika. Ila pia sishangai huwa wanabaguana wenyewe kwa wenyewe sembuse sisi wabara.
Wameshindwa kujua kuwa Karume asingemuomba Nyerere waungane wale masultan wangerudi tu.

Anyways yote kheri
 
Aidha hujui historia ama mbumbumbu Zanzibar kulikuana kanisa toka mwaka 1879 Anglican liko mji mkongwe nenda pale. toa hoja za kisomi ueleweke mkuu
Na Askofu mkuu wa hilo kanisa ni Mzanzibar anaitwa Michael Afidh, na Jaji mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ni Padre kwenye Cathedral hiyo ya Mkunazini na aliyetowa kiwanja cha kujengwa kanisa hilo hapo Mkunazini ni muislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna kero ya muungano kwangu basi ni hizo kauli za wazanzibari ndani ya muungano.
Tupige kura ya maoni na kama wanataka kuuvunja basi wazanzibari wote bara warudishe passport zetu waondoke. Wasipewe kuchagua. Watuache sisi wauaji.
Wawaulize waingereza na brexit yao.

Waje kwa visa tz. Maduka yao kariakoo hadi ilala wafunge kwanza wasajili biashara zao kama wageni.

Wanaimiliki ardhi wairudishe maana wageni hawaruhusiwi.

Waliooa wabara watafute uraia au kibali cha kukaa nchini kwa mujibu wa sharia.

Kwenye majeshi waondoke wakaanzishe jeshi lao na polisi wao.

Wawaulize sudan kusini kilichowapata walipoamua kujitenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo wazanzibari wanalitaka kama Leo, hawana haja wala hawababaishwi na yote uliyoyasema.

The same will apply to Tanganyikans.

Waondoke Zanzibar na kwenda kwao Zanzibar kutakuwa kwa Visa hivyo hivyo
 
Kama kuna faida Tanzania bara inapata kutoka Zanzibar ni ndogo sana. Kwa asilimia kubwa wa zanzibari ndio wanafaidika na huu muungano nashangaa wanalalamika. Ila pia sishangai huwa wanabaguana wenyewe kwa wenyewe sembuse sisi wabara.
Wameshindwa kujua kuwa Karume asingemuomba Nyerere waungane wale masultan wangerudi tu.

Anyways yote kheri
Na haya ndio maneno ya watanganyika kila kukicha, hivi kama watanganyika hawafaidiki ni kipi haswa kinachowafanya mng'ang'anie hulu?? Ni zipi hizo faida unazodhani wazanzibari wanazipata kutoka kwenye huu uvamizi?? You can't be serious!!!

Suala la kubaguana unalifanya ni hoja?? Mnabaguana nyinyi huko tena ubaguzi mpaka wa kuuwana. Lini umeskia wazanzibari wameuana kwa sababu za kikabila Kari yao?
 
Kwahiyo tatizo majina? Nawaunga mkono sana wazanzibari kupata Uhuru wa kiuchumi kuendeleza visiwa vyao ila hoja zako mkuu dhaifu sana usizungumze majina ya watu unaweza kwenda mbele zaidi ukaeleweka.

Wanaotawaliwa wanaelewa maana ya majina hayo na vyeo vyao
 
Hicho kisiwa sisi hatukupewa kwenye sinia Bali tulimwondoa sultan na waomani kwa kumwaga damu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kama mlimuondoa Sultani ilikuwaje mkamkamata Mpemba Waziri Mkuu Shamte na kumfunga katika jela za Tanganyika bila kumfikisha mahakamani kabla huo uvamizi hamjauita Muungano hapo April 26 1964 ??
 
Back
Top Bottom