Huyo Askofu anasema kweli kabisa. Yaani hii nchi ukianzisha ka mradi tu, magari ya serikali yatapishana hapo aisee. Mara fire, mara halmashauri, tra, tbs, nemc, osha, watu wa mizani...etc halafu kima mmoja anakuja kwa vitisho. Serikali imepandikiza ideology za hovyo sana kwa watumishi wake.