Tanganyika imerudi

Ndio irudi kwa miguu yote miwili na tutaipokea kwa mikono miwili.

BACK TANGANYIKA!
 
KWA WALE WAZALENDO WA TANGANYIKA HURU TUNAKUSANYA MAONI KUJUA NI WANGAPI WANAHITAJI NA WANGAPI HAWAHITAJI TANGANYIKA HURU.

ANDIKA NENO

a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.

b)HAPANA~TANGANYIKA HURU ISIRUDI.

hayo umepost wewe au umerishwa maneno na mtu, kwani unaishi nchi gani, au uko libya, mbona unawaza kama muudum wa baa, au mambo ya mombasa
 
Tangazo!!!hadi sasa zaidi ya watu elfu tatu wanahitaji tanganyika,naendelea kupokea maoni duniani kote kwa njia ya simu na sms kwa mitandao yote ya kijamii na makundi mbalimbali.
 
Anzisha mada yake we mbaguzi, hapa tudai tanga na nyika
Leo mnakubaliana na mimi kuwa Nyerere alifanya makosa? swali kwa wale wanaopingana na Nyerere kutaka kuifufua Tanganyika aliyoiuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…