Israel ilirudi baada ya miaka 2000 tena wakiwa wameshatawanyika kwenye nchi nyingine sembuse Tanganyika ambayo wananchi wake wapo bado na wengine waliipigania.
Tanganyika ndiyo nchi iliyopiganiwa na mababu zetu wakina Mkwawa ,Mirambo ,Dr.Mvungi n.k.
Walipoteza maisha yao kwa ajili ya Tanganyika.
Jina TANGA- NYIKA ni jina lililotamkwa na babu zetu wenyewe waafrika wenzetu.
Tanzania imekuwa ni nchi ya Walaghai watu wanaopindisha ikweli na kupoteza historia ya kweli ya Tanganyika.Hata mistari ya bendera ya Tanganyika ilipindishwa na kupata bendera ya Tanzania.