Tanganyika iliishi miezi 28 tu?

Tanganyika iliishi miezi 28 tu?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Umoja ni Nguvu. Kwa hiyo kuungana na kuwa kitu kimoja ni jambo jema.

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lilikuwa pigo kubwa kwa Tanzanyika.
 
hivi kosa la sultan lilikuwa nini hadi wakampindua? au woga wake tu ndo uliomkimbiza
 
Sijawahi kupata jibu kwa nini alifanya maamuzi ya namna hii.
Sifa za kijinga na kujidai anataka kufanya jambo la kipekee.
Huyu jamaa alikuwa anaamini sana katika madaraka ya kichawi. Aliingiza nchi kwenye ushirikina mkubwa sana ili kupambaza watu, rejea historia ya Mwenge.

Alifanya mazindiko ya ajabu ambayo ardhi ilipasuka Kisha ikameza watu na Kisha kujifukia. Matukio hayo yalitokea Lindi na Tabora.

Furaha yake ilikuwa ni kuona watu wanakuwa masikini kila siku
Sijawahi kupata jibu kwa nini alifanya maamuzi ya namna hii.
 
Back
Top Bottom