Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
kwa hili tupo wengi!AIsee huwa napenda sana kuangalia hizi picha, zinafundisha sana!
duhu, tukumbuke tulikotoka. si miaka mingi iliyopita. hii ilikuwa Tanganyika 1915 chini ya himaya ya mjerumani. reli na barabara zilijengwa kwa kasi ya ajabu. wabongo tulikuwa weusi mpaka tunang'aa. sio siku hizi uvivu, udaku na mikorogo vimetawala!
ndio maana viongozi kama akina Kinjeketile na Mkwawa waliamua kuingia msituni na kuanzisha "maasi". siku hizi viongozi wetu hawana ubavu!nikiangalia hizi picha natokwa machozi na kushikwa na hasira sana..nachukia sana ngozi nyeupe.
mbaya zaidi hawa wazungu they have never apologized for what they did to our ancestors..ndio maana viongozi kama akina Kinjeketile na Mkwawa waliamua kuingia msituni na kuanzisha "maasi". siku hizi viongozi wetu hawana ubavu!
sana sana sasa wameamua kutudumaza na "misaada" (yaani wanatupa shilingi moja halafu wao wanakusanya tano)mbaya zaidi hawa wazungu they have never apologized for what they did to our ancestors..
tulitakiwa tuwadai fidia kwa madhila ya kimwili na kijamii waliyowafanyia mababu zetu.
Comrade Viongozi wa sasa ndio kwanza wanawafuata hao weupe hukohuko kwa msemo mpya wanaenda kuhemea,huu ni uozo usiohitajikandio maana viongozi kama akina Kinjeketile na Mkwawa waliamua kuingia msituni na kuanzisha "maasi". siku hizi viongozi wetu hawana ubavu!
nikiangalia hizi picha natokwa machozi na kushikwa na hasira sana..nachukia sana ngozi nyeupe.
Mimi hiyo minyororo waliyofungwa shingoni mwao ndo imenitia simanzi pamoja na hiyo kazi wanayoifanya ya kushindilia barabara kwa mkono. Hivi wakirudi leo watatufanyia haya haya?
duhu, tukumbuke tulikotoka. si miaka mingi iliyopita. hii ilikuwa Tanganyika 1915 chini ya himaya ya mjerumani. reli na barabara zilijengwa kwa kasi ya ajabu. wabongo tulikuwa weusi mpaka tunang'aa. sio siku hizi uvivu, udaku na mikorogo vimetawala!
Huna haja ya kuwachukia,unatakiwa kuwashukuru,bila wao leo hii tungukuwa tunaishi ki-primitive sana,jaribu kuangalia jamii za watu ambao hawajawai pitiwa na hawa watu unawaochukia utaona wanaishije,tafuta wale wanaoishi deep kwenye misitu ya Papua New Guinea na kwenye jungles za south america uone leo hii wanaishijenikiangalia hizi picha natokwa machozi na kushikwa na hasira sana..nachukia sana ngozi nyeupe.