Tanga Yavunja Rekodi za TACAIDS!

Tanga Yavunja Rekodi za TACAIDS!

Amanijua

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,776
Reaction score
1,632
Wadau hivi majuzi kuna takwimu za TACAIDS zimetolewa kuhusu mahusiano na maambukizi mapya katika mkoa wa Tanga,takwimu hizo zinaonyesha mambo yafuatayo;
1.Asilimia 75 ya wanaume wa Tanga wana wapenzi zaidi ya wawili.

2.Wanaume takribani asilimia 79 wenye umri zaidi ya miaka 50 wamewahi kufanya mapenzi na wanawake zaidi ya 300.

3.Wanawake wa mkoani Tanga wanafanya mapenzi katika wastani mara 5 kwa wiki.

4.Asilimia 69 ya wanawake mkoa wa Tanga wanajihusisha na ANAL SEX yaani kufanya mapenzi kwa njia ya haja kubwa.

5.Na mwisho ni kwamba Tanga ndo mkoa unaongoza kwa wasichana wadogo kujihusisha na mapenzi ie wanaanza kufanya mapenzi katika age ya 10 hadi 11.

SOURCE ; Report ya mwakilishi wa WHO aliyefanya kwa ushirikiano na TACAIDS(2012-2014)!!!

SASA WADAU MI NAOMBA TUJARIBU KUSHARE MAWAZO JUU YA SABABU HASA ZA TAKIMU HIZI,maana binafsi naona hali ni mbaya sana!!!!
 
Si ndo wanasema 'mapenzi yalipozaliwa'...sikujua kuwa kwenye hayo mapenzi na tigo ruksa...

Hili gonjwa ni kwa kuwa lilianza BK watu wakakariri..tunakoelekea tunapokezana vijiti vya kuongoza kwa maambukizi tuuu; mara Mbeya; mara Dar, mara Iringa, mara Njombe...waafrika kwa ngono zembe tunaongoza...na sasa tumeingia kwenye tigo ndio kabisa tutachuana na SA kwa maambukizi
 
Tanga wanafanya bana..nlienda field week mbili, ukikaa gest hulali hizo purukushani zake usiku, na pale muheza mjini napo ni balaa pale..!!
 
Hiyo report mbona imeacha mapenzi ya jinsia moja(ushoga)
 
Kuna uzi upo hapa jamvini unaongelea hii kitu, sababu kubwa ni UMASIKINI!!!
 
Wadau hivi majuzi kuna takwimu za TACAIDS zimetolewa kuhusu mahusiano na maambukizi mapya katika mkoa wa Tanga,takwimu hizo zinaonyesha mambo yafuatayo;
1.Asilimia 75 ya wanaume wa Tanga wana wapenzi zaidi ya wawili.

2.Wanaume takribani asilimia 79 wenye umri zaidi ya miaka 50 wamewahi kufanya mapenzi na wanawake zaidi ya 300.

3.Wanawake wa mkoani Tanga wanafanya mapenzi katika wastani mara 5 kwa wiki.

4.Asilimia 69 ya wanawake mkoa wa Tanga wanajihusisha na ANAL SEX yaani kufanya mapenzi kwa njia ya haja kubwa.

5.Na mwisho ni kwamba Tanga ndo mkoa unaongoza kwa wasichana wadogo kujihusisha na mapenzi ie wanaanza kufanya mapenzi katika age ya 10 hadi 11.

SOURCE ; Report ya mwakilishi wa WHO aliyefanya kwa ushirikiano na TACAIDS(2012-2014)!!!

SASA WADAU MI NAOMBA TUJARIBU KUSHARE MAWAZO JUU YA SABABU HASA ZA TAKIMU HIZI,maana binafsi naona hali ni mbaya sana!!!!

..........ajabu UKIMWI uko Mbeya, Iringa, Njombe na Makambako !
 
Tanga wanafanya bana..nlienda field week mbili, ukikaa gest hulali hizo purukushani zake usiku, na pale muheza mjini napo ni balaa pale..!!

hahahahaa ulilala gest gani pale muheza
 
Back
Top Bottom