Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
thankx nipo ngamiani nauguza mpaka akipata kiunafuu kiduchu nageuza nae dar so cjui ni lini ila pamoja na stress b aiskeli nimeinjoi mnooo
karibu sana amu
hiyo ndio tanga yetu
na huo ndio usafiri wetu,
enjoy ndani ya jiji letu !!waaalala?waondoka kesho?
Hivi Passion Lady uko kunani au unaandika kwa kuionaa kunani kwenye lensi ya kipakatwa chako.
Tupia namba yako kwenye PM nikufuate hapo Ngamiani niimuone mgonjwa.
labda wewe anaweza akakupa kaka mana mimi nimeomba mawasiliano yake tangu jana hadi mida hii sijapewa. Au hataki nikamuone mgonjwa wake.
Nilijua tuu...
Nasi tulivyoona bei ya ngwese inapaa daily tumeachana na matumizi yasiyo na ulazima tumeahamia zetu kwenye usafiri wa ungo kitambo! Daadadeki sayansi mwitu hiyo!!
Na mie nimekuja kupanda baiskeli serious huu usafiri nimeuzimia mbayaaa.Tokea niujue usafiri mwingine hauna nafasi nainjoi sana.
Natamani ningekuwa Tanga nikusaidie kuuguza...
umechelewa mkuu, kwani mgonjwa alishafariki na tumezika jana.
Atiii???...poleni sana aisee...
Hahaha ati sayansi mwitu! Hiyo inaitwa cleaner transportation. So it is the most suitable kupambana na global warming. Huku nkoarua ndo natuka nayo daily kuja job, hata parking sio issue