CCM ina tabia ya kupeleka miradi mikubwa pale ambako wanakataliwa au Kuna dalili ya kukataliwa. Tanga na wilaya zake ni chimbo la CCM kwa karne na karne, hawana hofu ya kukataliwa hivyo hawapeleki miradi ya maana Tanga.
Tanga hakuna mradi hata mmoja wa umwagiliaji ingawa Kuna wakulima wengi. Tangu hasa kule Handeni ndivyo wilaya ambayo hakuna maji hakuna mito Wala mabwawa lakini CCM haipeleki maji ya mabwawa, bomba Wala kuchimba visima. Kata hazina vituo vya afya kama sera yao inavyosema, kata hazina vituo vya polisi Wala mahakama, hakuna shule za wasichana za bweni kama mikoa na wilaya nyingine; hakuna mradi wa maana Tanga na wilaya zake zote.
Tanga Tanga Tanga kunani? Tanga Wana kasoro gani kwenye kufikiria? au ni kwasababu ya kula sana viporo vya ugali wa mahindi?
Na wewe ukakubali kukaa kimya. Tanga 100% ni CCM lakini ndiyo 100% maskini.Mimi ni mkaazi wa Tanga(muhamiaji kutoka Ngorongoro). Kuna siku tulikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Kijiji. Mwenyekiti, mtendaji na diwani wakawa wanasema CCM hoyee..! Muda wa maswali ulipofika nikauliza "huu ni mkutano wa hadhara au wa chama?, mbona Kila kiongozi anayesimama anasema CCM hoyee?" Mtendaji akaniambia alikuwa rafiki yangu akaniita akaninong'oneza, "kijana kaa kimya utapotezwa". Nilishtuka sana
Kiko sehemu gani mheshimiwa. Kwani English medium ni mradi? Si wananchi wanaamua wenyewe TU shule hii iwe English medium kwa wanaoweza kulipa ada. Handeni Kuna wazigua wangapi wanaoweza kulipa ada watoto wao wasome English medium pre and primary school? Shule kama ipo siitakuwa wamejaa wageni TU humo? Nonsense.Mimi ni mkaazi wa Tanga(muhamiaji kutoka Ngorongoro). Kuna siku tulikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Kijiji. Mwenyekiti, mtendaji na diwani wakawa wanasema CCM hoyee..! Muda wa maswali ulipofika nikauliza "huu ni mkutano wa hadhara au wa chama?, mbona Kila kiongozi anayesimama anasema CCM hoyee?" Mtendaji akaniambia alikuwa rafiki yangu akaniita akaninong'oneza, "kijana kaa kimya utapotezwa". Nilishtuka sana
Handeni Wana English Medium Pre and Primary School
Mtanzania mmoja anamuita mtanzania mwingine mgeni katika nchi moja. Ubaguzi kumbe bado upo kwa kiwango kikubwa, jambo la kushukuru Mungu serikali haipo kubagua raia/wananchi wake na itaendelea kuwapa huduma kwa miradi mbalimbali ya maendeleo bila kujali unatokea upande gani wa nchi, dini, kabila au rangi yako.Kiko sehemu gani mheshimiwa. Kwani English medium ni mradi? Si wananchi wanaamua wenyewe TU shule hii iwe English medium kwa wanaoweza kulipa ada. Handeni Kuna wazigua wangapi wanaoweza kulipa ada watoto wao wasome English medium pre and primary school? Shule kama ipo siitakuwa wamejaa wageni TU humo? Nonsense.
Ni kawaidi, hata kwenye mkoa wetu wa Njombe hakuna mradi hata mmoja.
Huna maarifa mapana, kila kabila Lina asili yake na nilazima lionje keki ya taifa kwa usawa. Kama akili hiyo huna unawezaje kuchaguliwa mbunge wa jimbo hilo? Purchasing power ya kabila lako lazima ikuzwe ili wamudu kununua huduma zinazowanguuka. Mzanzibar lazima ajue wazanzibar wanapata nn kwenye keki ya taifa.Mtanzania mmoja anamuita mtanzania mwingine mgeni katika nchi moja. Ubaguzi kumbe bado upo kwa kiwango kikubwa, jambo la kushukuru Mungu serikali haipo kubagua raia/wananchi wake na itaendelea kuwapa huduma kwa miradi mbalimbali ya maendeleo bila kujali unatokea upande gani wa nchi, dini, kabila au rangi yako.
View attachment 3218311
Ahaaa, nimekukumbuka! Kumbe yule jamàa pingapinga ndo wewe Restless Hustler ?Mimi ni mkaazi wa Tanga(muhamiaji kutoka Ngorongoro). Kuna siku tulikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Kijiji. Mwenyekiti, mtendaji na diwani wakawa wanasema CCM hoyee..! Muda wa maswali ulipofika nikauliza "huu ni mkutano wa hadhara au wa chama?, mbona Kila kiongozi anayesimama anasema CCM hoyee?" Mtendaji akaniambia alikuwa rafiki yangu akaniita akaninong'oneza, "kijana kaa kimya utapotezwa". Nilishtuka sana
Kumbe mna watambua, Safi sanaAhaaa, nimekukumbuka! Kumbe yule jamàa pingapinga ndo wewe Restless Hustler ?
Tuna kazi katika safari hii ya maendeleoHuna maarifa mapana, kila kabila Lina asili yake na nilazima lionje keki ya taifa kwa usawa. Kama akili hiyo huna unawezaje kuchaguliwa mbunge wa jimbo hilo? Purchasing power ya kabila lako lazima ikuzwe ili wamudu kununua huduma zinazowanguuka. Mzanzibar lazima ajue wazanzibar wanapata nn kwenye keki ya taifa.