Tanga Sirudi Tena...

Daaah mshukuru mungu aisee..duuh labda kwa vile alidhamiria kukuua ndo maana umepona.
 
Mentor

Nilipofika hapa tu nikajua ni hadithi ya uongo ambao haufanani na ukweli nikaamua nisiendelee:


Tanga na Forodhani na urojo wapi na wapi?

Haaaa FaizaFoxy, ama kwa hakika utakuwa mwenyeji wa Tanga ya zamani kama watu8.
KOKUTONA na babu Dark City mjuzeni huyu kuwa kuna forodhani Tanga na kuwa huwa panauzwa urojo...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
inabidi baada ya muda ukamtembelee muuza duka kama kumsalimia na kumpa story kama hii. Vyenginevyo na ww umeshatiwa ktk kundi la wafu wa kukosa kinga in ze body. Kudadadeki, libolo lako linapushi push tu maprotini kama bomba lililofungwa water pump mpya. Halijazidiwa nguvu likafyonza likabeba hizo outorun. Bye the way, mwanzo mwanzo wa hiki kastory nimecheka kidogo ila mwisho nimejifunza kitu. Lkn Mento kiukweli Keneth ni mtamu, sijuwi umeumiss utamu wake?
 
Demu hata awe mzuri kama malkia wa sheba (cleopatra) kumpima lazima.
 

^^
Lyagwa ndio maana inaitwa home of great thinkers
^^
 
Last edited by a moderator:

Nasikitika kumbe hata wewe bado hujamjua vizuri chalii angu Mentor. Huyu arif akili zake anazijua mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Mentor nakuunga mkono kaka, Nilipata kazi tanga november mwaka jana soon after college, nkaanza mechi za ugenini nyingi, mwezi wa 7 mwaka huu nikafanya na demu flani hiv bila kinga. Nikasikia story zake kuwa hajatulia, ilikuwa balaa. Nikacha kazi kesho yake nkarudi dar, nimekuwa napima kila week kuhakikisha. Am now safe. Tanga sirudi tena iwe kikazi au hata kutalii. Sitaki kuuona ule mkoa kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Cc: babu Dark City n KOKUTONA. You thought niko peke yangu niuogopaye mkoa wenu??!

 
Last edited by a moderator:
duh kastori katamu ako ila hujafa stelingi ndo uzuri wake
 
Duh! Ama kweli watu mna tamaa, kwann ulimpunguzia luvdavi mrembo wako DSM?
Tena ungeukwaa ingekuwa vizuri make wewe unatamani ovyo. Na huyo binti Hollo ulitaka upime nae kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…