Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

Jamaa wewe una akili kubwa,

Ila wale tulisoma Cuba tushaelewa.
Lengo lako ni kuwachana makavu.
Hizo umeziita kasumba ndo ilikiwa main point,
watu wa Tanga ni wavivu wavivu hivi, halafu shule haipo
Imani za kishirikina nazo ndo umewafikisha.

Naafikiana nawewe kabisa kwenye hiyo list yako ya kasumba
 
Tanga Raha asikwambie mtu
 
Huwa najiuliza Kwanini sehemu nyingi za waswahili hawafungui maduka asubuhi Arusha saa 12 maduka ya mangi mtaani yamefunguliwa ila Kwa Tanga Dar na Zanzibar wanachelewa sana mtu anaewahi anafungua saa moja Tena hao wa saa Moja ni wachache
 
Huwa najiuliza Kwanini sehemu nyingi za waswahili hawafungui maduka asubuhi Arusha saa 12 maduka ya mangi mtaani yamefunguliwa ila Kwa Tanga Dar na Zanzibar wanachelewa sana mtu anaewahi anafungua saa moja Tena hao wa saa Moja ni wachache
Dar maduka yote ya mangi sasa kwanini hawafungui asubuhi?
 
Kivipi mkuu, fafanua hapo kwenye hawakai kwenye ndoa hapo... maana Kuna jamaa angu ni mtu wa Tanga ila ameoa na kuacha huko huko kwao...
 
Juzi nilikuwa huko.

Pako vizuri.. ila nasikitika kusema Madem wazuri sikubahatika kuwaona.

Mademu wa Tanga lugha. Wana sauti nyororo na kile kiswahili chao mi nina fetish nacho. Sema kuna kitu nimeona, kwamba unaweza kuwa nae hata mara tatu lakini hawataki uwaangalie chini. Wanaficha wanataka uingize tu. Ukilszimisha kuona vita
 
Nimeishi tanga mwaka mmoja na nusu kwa minchi hali ya hewa tanga mbaya joto januari-december kwenye kuhudumia wateja hawana huduma nzuri watu si wachachariji
kuvaa hirizi na kwenda kwa mganga wa kienyeji ni kawaida
Maendeleo tanga ni ya kusuasua

Nakwambia niliipenda Tanga lakini life pale ni tight sana. Wenyeji wakawa wananishangaa, umetoka Dar unakuja hapa kufanya nini. Lakini watu wa pale ni watu wema sana
 
uliz
aaa wakurugenz ma dir watakwambia nduguu pagumu hata uwe na hela ujiforce hurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…