What was ur initial investment and the value todate
What was ur initial investment and the value todate
Relax. Tanga ni utamaduni wa makuti. Thats why kule sahare na kwanjeka ni majirani lakn the difference is clear. Kwanjeka ni cultural na sahare ni modern but b4 zilikuwa sawa na wanaoishi share sio watanga ni immigrants wenye tanga beach resort nk... kwa hiyo pin it up.Before its worth was at around one billion with my expectation but now..... nikipata million Mia 8 nakuachia but am yet to surrender them
Relax. Tanga ni utamaduni wa makuti. Thats why kule sahare na kwanjeka ni majirani lakn the difference is clear. Kwanjeka ni cultural na sahare ni modern but b4 zilikuwa sawa na wanaoishi share sio watanga ni immigrants wenye tanga beach resort nk... kwa hiyo pin it up.
Aagh.. mbolea tanga.. chuma tanga...shanti tanga...vaseline...maziwa...chokaa..katani... hapo kipi kimekufa
Wenyeji hawajachangamka kibiashara ni wavivu sana wakipata chakula bas hawawaz maendeleo bt tanga ni mkoa uliojaliwa bas tu hawatumii fursa
Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Dada sio kakaKweli kaka... Tanga ilikuwepo kabla ya uhuru lakini leo hii wakaz wao wanaish Kama vile Tanga ni almashauri
Tanga pa kuoa tu sio pa maendeleo.waja Leo warudi Leo.sio pa kuishi yaheWana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....