Tanga-Lushoto

mgunda1990

Member
Jul 19, 2012
69
95
wapendwa kwa yeyote aliopo halmashaur ya wilaya ya kibaha, anaetaka kuja lushoto,nazungumzia mwalimu tuwasiliane,mimi ni mwl.wa shule ya sekondar jina lushoto,nahtaj kubadilishana na mtu kutoka halmashaur ya kibaha..
 
katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
0
Mimi walimu mbona siwaelewi, ina maana ili uhame ni mpaka upate mtu wa kubadilishana nae? Nadhani kama hii ndo policy ya wizara, basi siyo nzuri otherwise kama kuna sababu ambazo mimi sizielewi.
 
mgunda1990

Member
Jul 19, 2012
69
95
Mimi walimu mbona siwaelewi, ina maana ili uhame ni mpaka upate mtu wa kubadilishana nae? Nadhani kama hii ndo policy ya wizara, basi siyo nzuri otherwise kama kuna sababu ambazo mimi sizielewi.
Mkuu hapo hujaelewa kp?hyo cyo policy bt n njia rahs ya uhamisho tofaut na nyngnezo uzjuazo,cz hyo n kama kata mti panda mti,bt ukasema uanze kuandka barua tamisemi utang'aka arifu!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom