A Amney Member Joined Feb 23, 2012 Posts 54 Reaction score 4 Apr 15, 2012 #1 hello,wana jf boyfriend wangu anapenda nivae shanga ama chen kiunoni wakati wa mavituuuz,kwan zna kazi gani?
hello,wana jf boyfriend wangu anapenda nivae shanga ama chen kiunoni wakati wa mavituuuz,kwan zna kazi gani?
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,835 Reaction score 37,444 Apr 15, 2012 #2 Uckute X' wake alikuwa anamfaid vzr akwa na hyo ki2, We vaa tu "kuondoa ngoma juani". NAWASILISHA.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,371 Reaction score 88,584 Apr 15, 2012 #3 Duuu anataka ale GOti huyo!
sun wu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,429 Apr 15, 2012 #4 Kama haikuwashi wala kukusumbua sioni kwanini umkatalie furaha yake.., na kama inakuwasha unaweza ukawa unavaa saa za kwenda kulala tu... Hapo kila mtu atapata anachotaka..
Kama haikuwashi wala kukusumbua sioni kwanini umkatalie furaha yake.., na kama inakuwasha unaweza ukawa unavaa saa za kwenda kulala tu... Hapo kila mtu atapata anachotaka..
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Apr 15, 2012 #5 mchaga wa kibosho na shanga wapi na wapi? Unataka kuwa kama Jane tripo 0.
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Apr 15, 2012 #6 zanamfanya aone vizuri usiku.
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Apr 15, 2012 #7 Kongosho said: mchaga wa kibosho na shanga wapi na wapi? Unataka kuwa kama Jane tripo 0. Click to expand... Hiv tripo o yupo wap?
Kongosho said: mchaga wa kibosho na shanga wapi na wapi? Unataka kuwa kama Jane tripo 0. Click to expand... Hiv tripo o yupo wap?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Apr 15, 2012 #8 atakuwa walienda vakesheni na Cholo watapotelea huko huko. Kapalampya said: Hiv tripo o yupo wap? Click to expand...
atakuwa walienda vakesheni na Cholo watapotelea huko huko. Kapalampya said: Hiv tripo o yupo wap? Click to expand...
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Apr 15, 2012 #9 Kwa nini usivai sasa? unataka kua na kiuno kama nyoka?
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Apr 15, 2012 #10 Vigezo, masharti, itifaki, izingatiwe! Keshakupa option nini anataka! Usipotekeleza huoni atatafuta kule ambako option zake zinapata respond?
Vigezo, masharti, itifaki, izingatiwe! Keshakupa option nini anataka! Usipotekeleza huoni atatafuta kule ambako option zake zinapata respond?
YNNAH JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,702 Reaction score 972 Apr 15, 2012 #11 kwani kanga na shanga za kiuno ni kwa wa tanga tu?
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,430 Reaction score 9,889 Apr 15, 2012 #12 Nyoka hana kiuno ndo maana havai shanga! By mpoki
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Apr 15, 2012 #13 King Kong III said: Duuu anataka ale GOti huyo! Click to expand... hahahaah!! kwani bila shanga Goti hailiwi?
King Kong III said: Duuu anataka ale GOti huyo! Click to expand... hahahaah!! kwani bila shanga Goti hailiwi?
A Amney Member Joined Feb 23, 2012 Posts 54 Reaction score 4 Apr 15, 2012 Thread starter #14 sun wu said: Kama haikuwashi wala kukusumbua sioni kwanini umkatalie furaha yake.., na kama inakuwasha unaweza ukawa unavaa saa za kwenda kulala tu... Hapo kila mtu atapata anachotaka.. Click to expand... lakin mbona hamniambii matumizi yake n nn hasa lakini haukunjibu ina raha gani?
sun wu said: Kama haikuwashi wala kukusumbua sioni kwanini umkatalie furaha yake.., na kama inakuwasha unaweza ukawa unavaa saa za kwenda kulala tu... Hapo kila mtu atapata anachotaka.. Click to expand... lakin mbona hamniambii matumizi yake n nn hasa lakini haukunjibu ina raha gani?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Apr 15, 2012 #15 Amney said: lakin mbona hamniambii matumizi yake n nn hasa lakini haukunjibu ina raha gani? Click to expand... (Z)inaongeza utamu wa nonino 🙂🙂 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amney said: lakin mbona hamniambii matumizi yake n nn hasa lakini haukunjibu ina raha gani? Click to expand... (Z)inaongeza utamu wa nonino 🙂🙂
P probe Member Joined Apr 13, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Apr 15, 2012 #16 Mama vaaa!! Huyo ameshazoeshwa na xgf wake. Bila hzo atakuw hapig bao nying!!
V Van perfect Member Joined Apr 13, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Apr 16, 2012 #17 sio kila kitu ukiambiwa unafanya!! vingine havina maana,je akikwambia anataka tigo utasemaje? kaeni mjadiliane na mtafikia muafaka.
sio kila kitu ukiambiwa unafanya!! vingine havina maana,je akikwambia anataka tigo utasemaje? kaeni mjadiliane na mtafikia muafaka.
tabibumtaratibu JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 2,414 Reaction score 1,216 Apr 16, 2012 #18 Mwambie aache mambo ya kuiga km alizoea huko kwengine aende na sio kwako bt km na we unaona sawa we mkubalie 2 ili muende sawasawa.
Mwambie aache mambo ya kuiga km alizoea huko kwengine aende na sio kwako bt km na we unaona sawa we mkubalie 2 ili muende sawasawa.