Tanga... Kunani pale.?

Weee mshana Jr kwamba ulikuwa staff member paler?!!acha uongo hebu jaribu kuthibitisha?
 
Weee mshana Jr kwamba ulikuwa staff member paler?!!acha uongo hebu jaribu kuthibitisha?
Hapana hiyo quote nimeitoa mahali kwenye mjadala uliokuwa ukiendelea kuhusu SECOM
 
Sorry ulimaanisha Mgani au Munga.Maana SEKOMU Kuna Mgani na Munga.Maana Mgani namjua alikuwa lecture pale ndio ulikusudia huyo.
 
waliofanya haya ni watoto kutoka mikoa mengne na sio tanga... mtoa mada yupo sahihi ukitaka kujua hali ya ELIMU ni mbaya tanga fika tanga au angalia matokeo ya kidato cha NNE
 
Tafuta katika hao wanafunzi umpate mwenye vinasaba vya Tanga,
Hata hizo shule nzuri za kilimanjaro wanafunzi wengi sio wa kilimanjaro ndio mana shule zinapofungwa usafiri wa mikoa mingine kwenda na kutoka kilimanjaro hua wa shida sana
 
Hivi mgani Yupo wap sku iz nasikia mwenzake mtoi Yupo makumira
 
Hasa huko Handeni kuna washiriki na maofisini balaa
Mimi niko handeni unachokisema hakina ukweli,huo ushirikina maofisini mimi sijauona na mimi ni mtumishi by the way watumishi wanatoka mikoa tofauti tofauti
 
Mimi niko handeni unachokisema hakina ukweli,huo ushirikina maofisini mimi sijauona na mimi ni mtumishi by the way watumishi wanatoka mikoa tofauti tofauti

Mimi sipo huko, hao wa huko tuliokuwa nao huku ndio shida sasa, mifano ya dhahiri ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…