Tanga... Kunani pale.?

na leo hii samia yupo secom kuna mkutano mkubwa tuu ila sio wa masuala ya chuo, watumie hii fursaa
 
Nikiwa mmoja wa watu niliowahi kufanya "kazi maalum" SeKoMu,kuna mambo mengi sana mazito kwenye kile chuo.....but jua tu tatizo kubwa linaanzia kwa Mama Munga....
 
Hapana labda Tanga ya leo... Sio ya Zama zetu mpaka hivi karibuni... Rekodi ya hizi shule inaheshimika mpaka nje ya Tanzania
Magamba boys (shule yangu)
KIFUNGILO girls
Mazinde juu
Soni seminary
Tanga school
Popatiral
Korogwe girls
Etc
Kongei nayo si haba
 
Tatizo Askofu Munga anashinda mitandaoni badala ya kushinda ofisini kutatua changamoto za dayosisi Yake ikiwemo hicho chuo.Serikali haiwezi peleka na kuteua mtu gani awe mkuu wa chuo kisicho Cha serikali.Serikali inachofanya Ni kuweka vigezo tu acha uongo
 
Shule iko Tanga kijana , hatuna haja ya kujua ni mwenyeji wa wapi, hii ni tanga na heshima inarudi Tanga , ikiwa ya mwisho ni Tanga , ikifanya vizuri sio wenyeji wa Tanga aahhahahahahahahahaha
Mistari 3 ya mwisho ina bonge la ujembe
 
Kule ni pwani na kuna mjumuiko wa watu mbali mbali ambao sio wote ni wakazi asilia.. Fika lushoto uone

hayaa bhana mkuu mshana ila hao jamaa nawafahamu vizuri.
 

Siku ukipita hapa Segera njia panda hebu fanya kunishtua ili nikufungashie machungwa mazuri na nazi za kutosha ili uwapelekee zawadi nyumbani!

Umewajibu vizuri hao wote wanaoleta kejeli kwenye hoja yenye mashiko iliyoletwa mezani na Mghoshi wa Ndima Mshana jr.
 
Ntashuka mkuu hapo muhimu sana ahahahhahaaahaaaha
 
Tafuta katika hao wanafunzi umpate mwenye vinasaba vya Tanga,
 
Hii tabia ipo sana kwa makabila mengi Tanzania haswa ukanda wa Pwani, Nyanda za juu kusini, Kusini na Magharibi,
uko sahihi nimefanya biashara ya mawe na watu wa Tanga ata wenyewe tu wanawekeana roho ya korosho. ukiwashinda akili wanakimbilia kuloga.

Tanga wakipunguza roho ya ubinafsi wakapunguza na ushirika Tanga itakuwa mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…