Majoja JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 612 Reaction score 189 Aug 24, 2011 #1 Maintainance culture ni matatizo hapa bongo. Tembea tembea zangu huko Tanga nikaona godown la enzi ya mkoloni likimezwa na mti ambao ulianza kama kichaka tu.
Maintainance culture ni matatizo hapa bongo. Tembea tembea zangu huko Tanga nikaona godown la enzi ya mkoloni likimezwa na mti ambao ulianza kama kichaka tu.
N ngomambili Member Joined Apr 11, 2011 Posts 14 Reaction score 1 Aug 25, 2011 #2 matunda ya uvivu uliokithiri. uvivu hadi kwenye kufikiria!!!
S Simbamwene JF-Expert Member Joined Jun 22, 2008 Posts 286 Reaction score 59 Aug 25, 2011 #3 Tanga ina hudhunisha, aslimia 90 ya viwanda vimekufa, reli haifanyi kazi, Mji wa Pangani ndio taabani? Ni sehemu isiyo na matumaini?
Tanga ina hudhunisha, aslimia 90 ya viwanda vimekufa, reli haifanyi kazi, Mji wa Pangani ndio taabani? Ni sehemu isiyo na matumaini?
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Aug 25, 2011 #4 ngomambili, majengo kama haya yametapakaa nchi nzima, ww hustaajabu miradi ya DDC majengo yalivyochoka ? tatizo ni mfumo
ngomambili, majengo kama haya yametapakaa nchi nzima, ww hustaajabu miradi ya DDC majengo yalivyochoka ? tatizo ni mfumo
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,386 Aug 25, 2011 #5 Si ndio mnataka kutunza historia ya ukoloni? nyie watu hamna jema wakivunja mnataka kuandamana wakiyaacha mnapiga kelele
Si ndio mnataka kutunza historia ya ukoloni? nyie watu hamna jema wakivunja mnataka kuandamana wakiyaacha mnapiga kelele
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 25, 2011 #6 amusing for real.
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Aug 25, 2011 #7 Isije ikawa ni nyumban kwa bibi then unatuambia ni godown la mkolon!