Tanga kunani 28th - 30th Dec 2012

Na subiri picha za uliowataja...

Hahaaha! yegella vigezo na masharti kuzingatiwa! Note: Hakukuwa na member VERIFIED USER on that trip! Heri ya mwaka mpya kwako na kwa familia yako!
 
Last edited by a moderator:
We mtoto Power G nani kakwambia wanawake wanaruhusiwa kwenda chumvini? Futa kauli!
Wewe Arushaone kwa kitendo chako cha kuniita mtoto, naona hujipendi na hupendi uhai wako. Je huniogopi na minofu yangu yote hii? Au hiki kifua hukioni? Nakuonya usirudie tena, vinginevyo nitakutokezea huko huko Arusha kama radi.
 
Wewe Arushaone huogopi kuniita mtoto na minofu yangu yote hiyo? Au hicho kifua hukioni? Nakuonya usirudie tena, vinginevyo nitakutokezea huko huko Arusha kama radi.

Nakuonya we mtoto...acha kutoa povu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…